Uchaguzi 2020 Nimeamua kura yangu asubuhi na mapema Lissu atapata

Kama si Lissu kura yangu ninampa Hashi Rungwe. Yule ni mpinzani wa kweli.
 
Kumpigia Lisu ndobuandike maelezo malefu hivyo?
Hata hivyo wewe ni shabiki yake kwa hiyo kusingekua na haja ya kusema kwani unajulikana na ni haki yako.
 
He is guilty in his heart.

Hivi wa iringa katoa tamko gani?? Muulizeni vipi kutamu?
 
Haya nenda kachukue mgao wako wa T-shirt na kofia uwahi kwenye lorry kabla halijaondoka kuelekea uwanjani kusomba watu.
We ni moja ya watu wasiojijua ni vichaa, au low intelligence to put it clear
 
duh ila kanda ya Ziwa ilikuwa balaah...sikutegemea wananchi wamchukie JPM kiasi kile
Wamchukieje, umeona wapi kachukiwa, au ni namna yenu ya kutengeneza, kupinga diwan flan wa CCM sio kumchukia JPM
 
Mimi, familia yangu, wafanyakazi wangu wote nyumbani kura ni kwa LISSU, mapema kabisa asubuhi.
Hakuna mtu yoyote wa CCM ninayeweza kumpigia kura: CCM ni chama cha majambazi na wahuni.
 
Hakuna wasiwasi kwamba Lissu atashinda tena kwa kishindo; ila tunapaswa kulinda ushindi huu manake lazima ccm wataubadilisha. Kuna haja ya kumiminika mtaani kupinga udhalimu wa NEC.
Mnajishaua humu JF tu. Wakati hata wake zenu watampigia JPM the end of the day. Jiandaeni kisaikolojia
Lissu hana hoja, ni kubabwaja tu uko, af mnadanganya watu kuwa kajaza kumbe hamna kitu, mnatumia picha za zaman, kama CHADEMA Wameshindwa kujiendeleza na hella zao za Ruzuku hawajui zinaenda wapi watawezaje kuendeleza nchi sasa
Kwa muda wote nitakaojaliwa kuishi Duniani na katika ardhi hii ya nchi ya Uchumi wa kati chini, sitampigia kura mgombea yeyote wa CCM.

Naomba kuwasilisha waheshimiwa Wajumbe!
Kura ni kwa Lissu tu, Yaani nina hasira mno na fao la kujitoa kama vile nimemwagiwa petrol.
Nakukumbusha,kura yako ni moja tu,endeleeni kualikana muwe wengi,msiwasahau na wake zenu maana hao ndo watampekeka Magufuli madarakanišŸ˜‚
Mimi piana vijana wezangu hapa iringa tuna Jambo letu tar28.
Ngosha lazima arudi kuchunga
Udhalimu wenu umekaribia mwisho
 
Huna huo uwezo dogo, acha kujifanya shujaa nyuma ya keyboard.
Hakuna wasiwasi kwamba Lissu atashinda tena kwa kishindo; ila tunapaswa kulinda ushindi huu manake lazima ccm wataubadilisha. Kuna haja ya kumiminika mtaani kupinga udhalimu wa NEC.
 
Mnajishaua humu JF tu. Wakati hata wake zenu watampigia JPM the end of the day. Jiandaeni kisaikolojia
Wake zetu wampigie jiwe! Kwani wao hawajapigwa na haya maisha!!!??? Namaanisha wait wanaishi wapi??
 
Hongera. Kusanya na ukoo wenu wote, but urais atausikia tu. Jiandae usije ukapata ugonjwa ukacollapse siku hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…