Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata iweje Lissu hana mvuto kwa watu wengi wanaojielewa, tatizo lenu washangaaji mnadhan pia watawapigia kuraHakuna wasiwasi kwamba Lissu atashinda tena kwa kishindo; ila tunapaswa kulinda ushindi huu manake lazima ccm wataubadilisha. Kuna haja ya kumiminika mtaani kupinga udhalimu wa NEC.
Ndivyo ilivyo kwa vyama vyote sio kila anayehudhuria atapiga kura. Kwa hiyo tunachoangalia hapa ni ule mwamko na mchecheto wa wahudhuriaji. Mikutano ya CDM ni wazi imejaa bashasha na shamrashamra kuzidi ile ya ccm ambapo wengi wamesombwa na makori na hawana mwamko.Ata iweje Lissu hana mvuto kwa watu wengi wanaojielewa, tatizo lenu washangaaji mnadhan pia watawapigia kura
Basi vidume waoUmejuaje jinsia zao kamq waliondika ni wanawake je?