Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Jitu zima linasema "usikaLILI"Phd ipo kwa coursework & thesisi usikalili zile za zamani za kuandika tu-siku hizi zimerahisishwa.
Duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitu zima linasema "usikaLILI"Phd ipo kwa coursework & thesisi usikalili zile za zamani za kuandika tu-siku hizi zimerahisishwa.
Boss hapa kwenye hela nakiri wazi kabisa, hapa nahitaji BRUSH.Hadi unaenda kusoma PHd maana yake huna hela,maana ungekuwa na hela lazima ungekuwa na vitu vya kufanya na usinge pata muda wa kupoteza kwenda huko.
Sasa unaanzaje kugombea ubunge bila hela-believe me ni ndoto za alinacha.
Boss unaonekana wewe bado ni mwanafunzi wa chuo. Hayo maswali yako kawaulize watoto wa shule. Hili jukwaa linajadili mambo mapana. Unakuja na issue za kudefine humu. Ukiniuliza tufanyeje ili kupunguza bei za mafuta Tanzania ndio nitakujibu. Au ukiniuliza tufanyeje ili watanzania wanafaike na rasilimali ya gesi hapo nitakujibu.Hawawezi kukwambia huko wizarani JF ina wafunza mengi sana,
Management basically ina cover all aspects of the industry including all of what you have enlisted. Ndio maana inachukua 3 years.
Hivi unadhani kuna kisima cha mafuta kisichokuwa na gas? Utaelewa vipi bila ya kuelewa geology ya hivyo vitu vinavyopatikana through the decay of animals, utaingelea vipi maswala ya midstream kwenye separation ya mafuta bila ya kufahamu chemistry.
Trust me wewe hiyo industry huijui
Nijibu ili swali nikirudi mchana what’s API gravity, different ya mafuta ya Iran, Russia, Venezuela, Saudi Arabia, wapi kuna refiniries bora leo na nini hasa advantages zake zinazofanya ziwe bora.
Sikushauri huu mjadala na mimi, uelewa wako ni mdogo sana kwenye hii sector. Oil and Gas ina mambo mengi mno na wewe ata basic za how the industry work huna.
Uamini weka maswali yako nikirudi in 4 hours time nayajibu, ila nikikupa yangu technical uwezi yajibu trust me.
Mie nikisoma tu posts za watu kwa baadhi ya topics I can tell depth ya mtu. Na wewe huku kwenye oil and gas bado mchanga sana.
Bora tu uendelee na masoma yako. Siasa ni kama kamari. Utamaliza masoma na siasa utazikuta. Ila ukiacha masomo unaweza usiweze tena kuja fanya Phd na huo ubunge usipste.Habari za leo watanzania wenzangu,
Mimi rafiki yenu na kijana mwenzenu nilishafungua moyo wangu kuwatumikia watanzania katika kiti cha ubunge. Kama kuna wabunge humu naomba watanishauri zaidi ila ni jambo ambalo nalipenda na nina uzoefu nalo kidogo.
Muda wangu sahihi wa kujitokeza hadharani utakua 2025 ila bado sijaweka wazi nitagombea ubunge kupitia chama gani.
Hii ndio sababu kubwa iliyonifanya nisitishe masomo yangu haraka sana ili niweze kujipanga katika hili. Nilipata kuchaguliwa kuendelea na masomo ya PhD katika chuo kimoja huko nje ya nchi. Ilinipasa mwezi wa tisa mwaka jana niwe nimeshaingia chuoni na kuanza masomo yangu.
Naombeni kuungwa mkono katika hili. Najua muda ukiwadia ipo siku nitamalizia elimu yangu. Lakini kwasasa nijapange ili kutimiza adhima yangu.
Ahsanteni jamani.
View attachment 2495736
View attachment 2495735
Mimi moja kwa moja nikajua hatuna mtu hapa ndo maana sikuhangaika naye.Jitu zima linasema "usikaLILI"
Duh
Chama gani utagombea???Habari za leo watanzania wenzangu,
Mimi rafiki yenu na kijana mwenzenu nilishafungua moyo wangu kuwatumikia watanzania katika kiti cha ubunge. Kama kuna wabunge humu naomba watanishauri zaidi ila ni jambo ambalo nalipenda na nina uzoefu nalo kidogo.
Muda wangu sahihi wa kujitokeza hadharani utakua 2025 ila bado sijaweka wazi nitagombea ubunge kupitia chama gani.
Hii ndio sababu kubwa iliyonifanya nisitishe masomo yangu haraka sana ili niweze kujipanga katika hili. Nilipata kuchaguliwa kuendelea na masomo ya PhD katika chuo kimoja huko nje ya nchi. Ilinipasa mwezi wa tisa mwaka jana niwe nimeshaingia chuoni na kuanza masomo yangu.
Naombeni kuungwa mkono katika hili. Najua muda ukiwadia ipo siku nitamalizia elimu yangu. Lakini kwasasa nijapange ili kutimiza adhima yangu.
Ahsanteni jamani.
View attachment 2495736
View attachment 2495735
Mkuu nimeona pia hata katika post yako hapo juu unakejeli mtoa mada.nakushauri kama wewe unajiona una maarifa/akili au uelewa mkubwa zaidi ya MTU mwingine basi tumia akili yako kubwa kirekebisha na kutatua tatizo na sio kujikweza.Jitu zima linasema "usikaLILI"
Duh
Nitakupa muongozo nikipata mudaBoss hapa kwenye hela nakiri wazi kabisa, hapa nahitaji BRUSH.
Boss unaonekana wewe bado ni mwanafunzi wa chuo. Hayo maswali yako kawaulize watoto wa shule. Hili jukwaa linajadili mambo mapana. Unakuja na issue za kudefine humu. Ukiniuliza tufanyeje ili kupunguza bei za mafuta Tanzania ndio nitakujibu. Au ukiniuliza tufanyeje ili watanzania wanafaike na rasilimali ya gesi hapo nitakujibu.
Kwa hizo definition Google au kawaulize watoto wa shule. Hayo ndio maswali yao ya assignment.
Let be seriously.
MTU akisoma PhD by course work & Dissertation hiyo coursework anaipataje kama hasomi darasani?PhD inasomwaje?! Maajabu ya Mataga
Pitia kwenye hizi link, hakuna kitu kinachoweza kushindikana mimi nikiwepo. Nimejifunza sana na bado naendelea kujifunza ukipata changamoto yeyote nitafute.Canadian mkuu.
cscuk.fcdo.gov.uk
Sawa nashukuruPitia kwenye hizi link, hakuna kitu kinachoweza kushindikana mimi nikiwepo. Nimejifunza sana na bado naendelea kujifunza ukipata changamoto yeyote nitafute.
Commonwealth scholarship
![]()
Scholarships and Fellowships Commonwealth Scholarship Commission in the UK
Our work combines sustainable development with the UK national interest, by supporting innovators and leaders of the future from across the Commonwealth and attracting outstanding talent to the UK’s universities.cscuk.fcdo.gov.uk
Chinese Government Scholarship
![]()
CSC Scholarships | China Scholarship Council | Chinese Government Scholarships
Study in China on CSC Scholarship offered by China Scholarship Council also called Chinese Government Scholarship. CSC China offering Undergraduate, Master, PhD, exchange program, and Chinese language scholarship. Chinese Scholarship Council is also offering MOFCOM Scholarship. CSC Result...www.chinesescholarshipcouncil.com
Canadian government scholarship
Scholarships for international and Canadian students
Information about scholarships for Canadians to study abroad and scholarships for international students to study in Canada.www.educanada.ca
Mahenje ni kata ambapo zamani ilikuwa inaitwa kata ya myovizi na wakati huo Diwani wake alikuwa Ni cosmas nzowa ambaye kwa Sasa Ni mwalimu mkuu huko bushiNa hatuna kata inayoitwa MAHENJE
Mimi siyo mbunge bali Ni mwana ccm pureHaya maneno kama yanatoka kwa mbunge aliyeko madarakani vile....
Dogo unakoenda unaelekea Kuchizika. Umemaliza muda wako wa Mwenyekiti wa UVCCM kigamboni, nafasi ile ilipaswa iwe miwani yako ya kuzielewa vizuri siasa za Tanzania lakini umeshindwa.Habari za leo watanzania wenzangu,
Mimi rafiki yenu na kijana mwenzenu nilishafungua moyo wangu kuwatumikia watanzania katika kiti cha ubunge. Kama kuna wabunge humu naomba watanishauri zaidi ila ni jambo ambalo nalipenda na nina uzoefu nalo kidogo.
Muda wangu sahihi wa kujitokeza hadharani utakua 2025 ila bado sijaweka wazi nitagombea ubunge kupitia chama gani.
Hii ndio sababu kubwa iliyonifanya nisitishe masomo yangu haraka sana ili niweze kujipanga katika hili. Nilipata kuchaguliwa kuendelea na masomo ya PhD katika chuo kimoja huko nje ya nchi. Ilinipasa mwezi wa tisa mwaka jana niwe nimeshaingia chuoni na kuanza masomo yangu.
Naombeni kuungwa mkono katika hili. Najua muda ukiwadia ipo siku nitamalizia elimu yangu. Lakini kwasasa nijapange ili kutimiza adhima yangu.
Ahsanteni jamani.
View attachment 2495736
View attachment 2495735
[emoji38][emoji38][emoji38]Haya maneno kama yanatoka kwa mbunge aliyeko madarakani vile....