Nimeamua kusimamisha masomo ya PhD nje ya nchi ili nijitayarishe kwaajili ya kugombea ubunge 2025 katika jimbo la Mbozi Mashariki

Hadi unaenda kusoma PHd maana yake huna hela,maana ungekuwa na hela lazima ungekuwa na vitu vya kufanya na usinge pata muda wa kupoteza kwenda huko.
Sasa unaanzaje kugombea ubunge bila hela-believe me ni ndoto za alinacha.
Boss hapa kwenye hela nakiri wazi kabisa, hapa nahitaji BRUSH.
Hawawezi kukwambia huko wizarani JF ina wafunza mengi sana,

Management basically ina cover all aspects of the industry including all of what you have enlisted. Ndio maana inachukua 3 years.

Hivi unadhani kuna kisima cha mafuta kisichokuwa na gas? Utaelewa vipi bila ya kuelewa geology ya hivyo vitu vinavyopatikana through the decay of animals, utaingelea vipi maswala ya midstream kwenye separation ya mafuta bila ya kufahamu chemistry.

Trust me wewe hiyo industry huijui

Nijibu ili swali nikirudi mchana what’s API gravity, different ya mafuta ya Iran, Russia, Venezuela, Saudi Arabia, wapi kuna refiniries bora leo na nini hasa advantages zake zinazofanya ziwe bora.

Sikushauri huu mjadala na mimi, uelewa wako ni mdogo sana kwenye hii sector. Oil and Gas ina mambo mengi mno na wewe ata basic za how the industry work huna.

Uamini weka maswali yako nikirudi in 4 hours time nayajibu, ila nikikupa yangu technical uwezi yajibu trust me.

Mie nikisoma tu posts za watu kwa baadhi ya topics I can tell depth ya mtu. Na wewe huku kwenye oil and gas bado mchanga sana.
Boss unaonekana wewe bado ni mwanafunzi wa chuo. Hayo maswali yako kawaulize watoto wa shule. Hili jukwaa linajadili mambo mapana. Unakuja na issue za kudefine humu. Ukiniuliza tufanyeje ili kupunguza bei za mafuta Tanzania ndio nitakujibu. Au ukiniuliza tufanyeje ili watanzania wanafaike na rasilimali ya gesi hapo nitakujibu.
Kwa hizo definition Google au kawaulize watoto wa shule. Hayo ndio maswali yao ya assignment.

Let be seriously.
 
Habari za leo watanzania wenzangu,

Mimi rafiki yenu na kijana mwenzenu nilishafungua moyo wangu kuwatumikia watanzania katika kiti cha ubunge. Kama kuna wabunge humu naomba watanishauri zaidi ila ni jambo ambalo nalipenda na nina uzoefu nalo kidogo.

Muda wangu sahihi wa kujitokeza hadharani utakua 2025 ila bado sijaweka wazi nitagombea ubunge kupitia chama gani.

Hii ndio sababu kubwa iliyonifanya nisitishe masomo yangu haraka sana ili niweze kujipanga katika hili. Nilipata kuchaguliwa kuendelea na masomo ya PhD katika chuo kimoja huko nje ya nchi. Ilinipasa mwezi wa tisa mwaka jana niwe nimeshaingia chuoni na kuanza masomo yangu.

Naombeni kuungwa mkono katika hili. Najua muda ukiwadia ipo siku nitamalizia elimu yangu. Lakini kwasasa nijapange ili kutimiza adhima yangu.

Ahsanteni jamani.

View attachment 2495736

View attachment 2495735
Bora tu uendelee na masoma yako. Siasa ni kama kamari. Utamaliza masoma na siasa utazikuta. Ila ukiacha masomo unaweza usiweze tena kuja fanya Phd na huo ubunge usipste.
Isitoshe huenda una taarifa potofu. Huku nyumbani ni mikutano tu ya hadhara ilikua inazuiliwa ila siasa za vyama zilikua zinaendelea kama kawaida.
 
Habari za leo watanzania wenzangu,

Mimi rafiki yenu na kijana mwenzenu nilishafungua moyo wangu kuwatumikia watanzania katika kiti cha ubunge. Kama kuna wabunge humu naomba watanishauri zaidi ila ni jambo ambalo nalipenda na nina uzoefu nalo kidogo.

Muda wangu sahihi wa kujitokeza hadharani utakua 2025 ila bado sijaweka wazi nitagombea ubunge kupitia chama gani.

Hii ndio sababu kubwa iliyonifanya nisitishe masomo yangu haraka sana ili niweze kujipanga katika hili. Nilipata kuchaguliwa kuendelea na masomo ya PhD katika chuo kimoja huko nje ya nchi. Ilinipasa mwezi wa tisa mwaka jana niwe nimeshaingia chuoni na kuanza masomo yangu.

Naombeni kuungwa mkono katika hili. Najua muda ukiwadia ipo siku nitamalizia elimu yangu. Lakini kwasasa nijapange ili kutimiza adhima yangu.

Ahsanteni jamani.

View attachment 2495736

View attachment 2495735
Chama gani utagombea???
 
Jitu zima linasema "usikaLILI"

Duh
Mkuu nimeona pia hata katika post yako hapo juu unakejeli mtoa mada.nakushauri kama wewe unajiona una maarifa/akili au uelewa mkubwa zaidi ya MTU mwingine basi tumia akili yako kubwa kirekebisha na kutatua tatizo na sio kujikweza.

Kujikweza kwako kama wenye akili au mwenye uelewa mkubwa hakunisidii Mimi chochote-zaidi ya kukuona kama punguani.Makosa ya kiuandishi wa spelling hutokea kwa MTU yoyote na husababishwa na mambo mbalimbali.
 
Boss hapa kwenye hela nakiri wazi kabisa, hapa nahitaji BRUSH.

Boss unaonekana wewe bado ni mwanafunzi wa chuo. Hayo maswali yako kawaulize watoto wa shule. Hili jukwaa linajadili mambo mapana. Unakuja na issue za kudefine humu. Ukiniuliza tufanyeje ili kupunguza bei za mafuta Tanzania ndio nitakujibu. Au ukiniuliza tufanyeje ili watanzania wanafaike na rasilimali ya gesi hapo nitakujibu.
Kwa hizo definition Google au kawaulize watoto wa shule. Hayo ndio maswali yao ya assignment.

Let be seriously.
Nitakupa muongozo nikipata muda
 
Yaani badala ya kujikita kwenye taaluma usaidie nchi kwenye hilo eneo la nishati, unataka uje kuwa mpiga porojo na mgonga meza!?
 
Canadian mkuu.
Pitia kwenye hizi link, hakuna kitu kinachoweza kushindikana mimi nikiwepo. Nimejifunza sana na bado naendelea kujifunza ukipata changamoto yeyote nitafute.

Commonwealth scholarship

Chinese Government Scholarship

Canadian government scholarship
 
Kama hujaolewa kabisa kabla hujaenda PHD au kugombea huo Ubunge ndo usahau kabisa...utakua kama kina Halima mdee na Kina Bulaya... et al
Wanaume wetu hawapendi hekaheka
 
Pitia kwenye hizi link, hakuna kitu kinachoweza kushindikana mimi nikiwepo. Nimejifunza sana na bado naendelea kujifunza ukipata changamoto yeyote nitafute.

Commonwealth scholarship

Chinese Government Scholarship

Canadian government scholarship
Sawa nashukuru
 
Habari za leo watanzania wenzangu,

Mimi rafiki yenu na kijana mwenzenu nilishafungua moyo wangu kuwatumikia watanzania katika kiti cha ubunge. Kama kuna wabunge humu naomba watanishauri zaidi ila ni jambo ambalo nalipenda na nina uzoefu nalo kidogo.

Muda wangu sahihi wa kujitokeza hadharani utakua 2025 ila bado sijaweka wazi nitagombea ubunge kupitia chama gani.

Hii ndio sababu kubwa iliyonifanya nisitishe masomo yangu haraka sana ili niweze kujipanga katika hili. Nilipata kuchaguliwa kuendelea na masomo ya PhD katika chuo kimoja huko nje ya nchi. Ilinipasa mwezi wa tisa mwaka jana niwe nimeshaingia chuoni na kuanza masomo yangu.

Naombeni kuungwa mkono katika hili. Najua muda ukiwadia ipo siku nitamalizia elimu yangu. Lakini kwasasa nijapange ili kutimiza adhima yangu.

Ahsanteni jamani.

View attachment 2495736

View attachment 2495735
Dogo unakoenda unaelekea Kuchizika. Umemaliza muda wako wa Mwenyekiti wa UVCCM kigamboni, nafasi ile ilipaswa iwe miwani yako ya kuzielewa vizuri siasa za Tanzania lakini umeshindwa.
 
Back
Top Bottom