Nimeamua kusimamisha masomo ya PhD nje ya nchi ili nijitayarishe kwaajili ya kugombea ubunge 2025 katika jimbo la Mbozi Mashariki

Hadi unaenda kusoma PHd maana yake huna hela,maana ungekuwa na hela lazima ungekuwa na vitu vya kufanya na usinge pata muda wa kupoteza kwenda huko.
Sasa unaanzaje kugombea ubunge bila hela-believe me ni ndoto za alinacha.
Boss hapa kwenye hela nakiri wazi kabisa, hapa nahitaji BRUSH.
Boss unaonekana wewe bado ni mwanafunzi wa chuo. Hayo maswali yako kawaulize watoto wa shule. Hili jukwaa linajadili mambo mapana. Unakuja na issue za kudefine humu. Ukiniuliza tufanyeje ili kupunguza bei za mafuta Tanzania ndio nitakujibu. Au ukiniuliza tufanyeje ili watanzania wanafaike na rasilimali ya gesi hapo nitakujibu.
Kwa hizo definition Google au kawaulize watoto wa shule. Hayo ndio maswali yao ya assignment.

Let be seriously.
 
Bora tu uendelee na masoma yako. Siasa ni kama kamari. Utamaliza masoma na siasa utazikuta. Ila ukiacha masomo unaweza usiweze tena kuja fanya Phd na huo ubunge usipste.
Isitoshe huenda una taarifa potofu. Huku nyumbani ni mikutano tu ya hadhara ilikua inazuiliwa ila siasa za vyama zilikua zinaendelea kama kawaida.
 
Chama gani utagombea???
 
Jitu zima linasema "usikaLILI"

Duh
Mkuu nimeona pia hata katika post yako hapo juu unakejeli mtoa mada.nakushauri kama wewe unajiona una maarifa/akili au uelewa mkubwa zaidi ya MTU mwingine basi tumia akili yako kubwa kirekebisha na kutatua tatizo na sio kujikweza.

Kujikweza kwako kama wenye akili au mwenye uelewa mkubwa hakunisidii Mimi chochote-zaidi ya kukuona kama punguani.Makosa ya kiuandishi wa spelling hutokea kwa MTU yoyote na husababishwa na mambo mbalimbali.
 
Nitakupa muongozo nikipata muda
 
Yaani badala ya kujikita kwenye taaluma usaidie nchi kwenye hilo eneo la nishati, unataka uje kuwa mpiga porojo na mgonga meza!?
 
Canadian mkuu.
Pitia kwenye hizi link, hakuna kitu kinachoweza kushindikana mimi nikiwepo. Nimejifunza sana na bado naendelea kujifunza ukipata changamoto yeyote nitafute.

Commonwealth scholarship

Chinese Government Scholarship

Canadian government scholarship
 
Kama hujaolewa kabisa kabla hujaenda PHD au kugombea huo Ubunge ndo usahau kabisa...utakua kama kina Halima mdee na Kina Bulaya... et al
Wanaume wetu hawapendi hekaheka
 
Sawa nashukuru
 
Dogo unakoenda unaelekea Kuchizika. Umemaliza muda wako wa Mwenyekiti wa UVCCM kigamboni, nafasi ile ilipaswa iwe miwani yako ya kuzielewa vizuri siasa za Tanzania lakini umeshindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…