Miaka 59 ya Uhuru CCM wanatutawala na wakituongoza kwenye Vita dhidi ya umasikini ,ujinga na maradhi,huku wakijitapa kuwa wao ni chama bora Africa, Ila 58 years down the line inatokea corona ccm hao hao waliokuwa wakiimba na kudanganya uchumi wetu umekuwa,oo kipato cha mtanzania kimeongozeka,
ghafla wanasahau hayo na wanakili kuwa ni heri watanzania wafe Kama kuku wakitembea barabarani kutafuta chakula badala ya kuwataka wabaki majumbani mwao kwa usalama wao kwa sababu ni wabangaizaji, Kwa mtazamo wangu,hii corona imewaonesha watanzania kwa vitendo ubovu wa sera za CCM na ccm yenyewe waliyoikumbatia for 58 years na kudhihirisha uongo wao wa muda mrefu na nilidhani baada ya ukweli huu kujidhihirisha,
watu tulipaswa kuikataa ccm rasmi na kuanza kufikiria new strategies going forward,lakini cha kushanganza ndo kwanza watu wanatembea na kadi za ccm mfukoni hata Kama nafasi zao kisheria na kikatiba haziwaruhusu kuwa na kadi ya chama chochote cha siasa,hili swala Lina nifanya nijiulize maswali haya1,Je sisi watanzania ni binadamu kamili? 2 Ccm ni chama cha siasa au jini?