Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

Mkuu Pascal Mayalla, ong'wise usitufanye sisi wajinga wenzio, kajinga kenyewe peke yako!
 
Kila la kheri !! Ukianza kuuza Mali zako usisahau kutoa matangazo ili wadau tukuungishe.
 
Ingawa najua leo ni April Fools, ila kwa kuwa mimi ni Tomaso, nitasogea pale Lumumba hiyo saa 4 asubuhi (ingawa umeandika saa 10 asubuhi) ili kujionea mwenyewe.
 
Aprili mosi, mwezi nchaga. FD.
 
OVER YOUR DEAD BODY!
huwezi!
hata ungetaka!
huwezi kuacha uanahabari!
huwezi kustaafu utangazaji, since hujaajiriwa na mtu
huwezi kujinga na ccm
hujawahi kutamani wala kuwa na sifa za kuwa mwana CCM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…