Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

Mkuu mdukuzi, jimbo la Kawe tulikuwa wagombea 176. Kati ya hao ni wagombea 50 tuu ndio waliopata kura. Wagombea 126 hawakuambulia hata kura moja!. Mimi nilibahatika kupata kura moko, hivyo nimewapita watu 126, ambao hawakupata hata kura moja!.
P
Na bado matumaini ya kugombea tena unayo
 
Mkuu mdukuzi, jimbo la Kawe tulikuwa wagombea 176. Kati ya hao ni wagombea 50 tuu ndio waliopata kura. Wagombea 126 hawakuambulia hata kura moja!. Mimi nilibahatika kupata kura moko, hivyo nimewapita watu 126, ambao hawakupata hata kura moja!.
P
Ahaaa dah hii noma,njoo segerea huku jimbo liko wazi yule mama hatumtaki basi tu hajatokea mtu ngangari wa kumtoa
 
Mkuu mdukuzi, jimbo la Kawe tulikuwa wagombea 176. Kati ya hao ni wagombea 50 tuu ndio waliopata kura. Wagombea 126 hawakuambulia hata kura moja!. Mimi nilibahatika kupata kura moko, hivyo nimewapita watu 126, ambao hawakupata hata kura moja!.
P
Kupata 1 wengine wapate sifuri haimaanishi umefaulu. Wajumbe siyo watu wazuri.
 
Mkuu mdukuzi, jimbo la Kawe tulikuwa wagombea 176. Kati ya hao ni wagombea 50 tuu ndio waliopata kura. Wagombea 126 hawakuambulia hata kura moja!. Mimi nilibahatika kupata kura moko, hivyo nimewapita watu 126, ambao hawakupata hata kura moja!.
P

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hongera sana P.
Kwa hiyo idadi ya wagombea ilikuwa kubwa kuliko wapiga kura???
Ni ajabu, lkn inawezekana ikawa kweli pia.
Wagombea tulikuwa 176. Jimbo la Kawe lina kata 10. Kila kata ina mashina 10, kila shina linatoa wajumbe 4, hivyo idadi ya wajumbe ni 4 × 10 × 10= 400.
Ili uweze kupata nyingi, kila mgombea alipaswa kuwa na
mkono mrefu wa "kuwaona" wajumbe. Kwa vile sisi wagombea tumetofautiana urefu wa mikono, matokeo yake ni only wale wenye kisu kikali ndio walioweza kukata mapande makubwa ya nyama na kula nyama!. Mimi sikumuona mjumbe yoyote na matokeo ndio yale!.
P
 
Tunaomba mrejesho.
Mkuu Daudi Mchambuzi , mara tuu baada ya matokeo ya kura za maoni, nilileta mrejesho humu,
P
 
-Media ethics za misingi mikuu

-Long experience ya uzoefu wa muda mrefu
 
Back
Top Bottom