Nimeamua kutafuta mke ili niachane na maisha ya ubachela(Senior bachelor).

Ukitaka kutafuta mke haraka haraka wa kuoa basi kigezo Cha usomi ondoa maana Kuna possibility kubwa ya kupata garasa ukioa msomi kuliko ukioa form four failure...

Ni hivi wanawake wasomi wengi Ni mizigo ukitaka kuoa lazima uwe nae kwenye mahusiano ya mda mrefu kumjua vzr na wewe unatak mke wa haraka hivo basi ondoa kigezo Cha usomi weka Cha uchapakazi...

Ni mawazo ya kijinga lakini yanaweza kukusaidia
 

Mweee Weusi tumepigwa chini tutachafua mbegu Za watu[emoji26][emoji26]
 
Yeye anataka msomi. Kila mtu ana kigezo chake bosi
 
Umenena vyema sana, na ni kwa mwenye jicho la 3 pekee ndiye atayekuelewa vzr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…