Nimeamua kutafuta mke ili niachane na maisha ya ubachela(Senior bachelor).

Ukitaka kutafuta mke haraka haraka wa kuoa basi kigezo Cha usomi ondoa maana Kuna possibility kubwa ya kupata garasa ukioa msomi kuliko ukioa form four failure...

Ni hivi wanawake wasomi wengi Ni mizigo ukitaka kuoa lazima uwe nae kwenye mahusiano ya mda mrefu kumjua vzr na wewe unatak mke wa haraka hivo basi ondoa kigezo Cha usomi weka Cha uchapakazi...

Ni mawazo ya kijinga lakini yanaweza kukusaidia
 
Habari zenu wana JF? Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu. Nimeamua kutafuta mke ili niachane na maisha ya ubachela(Senior bachelor).

Sifa za mke ambaye Napenda niwe nawe ni kama ifuatavyo:-

1. Awe ni Msomi.

2. Awe na kazi inayoeleweka au hata kama hana kazi. Sipendi kuwa na mke ambaye hana kazi maana ni kero sana.

3. Awe ni mweupe na awe ameumbika vizuri na siyo lazima awe na msambwanda mkubwa sana ila awe na figure amazing.

4. Awe na urefu wa kati- asiwe mrefu sana wa mfupi sana.

Kama kuna mwanamke yeyote yupo tayari kuwa mke. Naomba tuwasiliane.

Mwisho, naombeni ushirikiano wenu katika kumpata mke mwenye sifa nilizozitaja hapo juu.

Ahsanteni sana na muwe na weekend njema.

Mweee Weusi tumepigwa chini tutachafua mbegu Za watu[emoji26][emoji26]
 
Ukitaka kutafuta mke haraka haraka wa kuoa basi kigezo Cha usomi ondoa maana Kuna possibility kubwa ya kupata garasa ukioa msomi kuliko ukioa form four failure...

Ni hivi wanawake wasomi wengi Ni mizigo ukitaka kuoa lazima uwe nae kwenye mahusiano ya mda mrefu kumjua vzr na wewe unatak mke wa haraka hivo basi ondoa kigezo Cha usomi weka Cha uchapakazi...

Ni mawazo ya kijinga lakini yanaweza kukusaidia
Yeye anataka msomi. Kila mtu ana kigezo chake bosi
 
Ukitaka kutafuta mke haraka haraka wa kuoa basi kigezo Cha usomi ondoa maana Kuna possibility kubwa ya kupata garasa ukioa msomi kuliko ukioa form four failure...

Ni hivi wanawake wasomi wengi Ni mizigo ukitaka kuoa lazima uwe nae kwenye mahusiano ya mda mrefu kumjua vzr na wewe unatak mke wa haraka hivo basi ondoa kigezo Cha usomi weka Cha uchapakazi...

Ni mawazo ya kijinga lakini yanaweza kukusaidia
Umenena vyema sana, na ni kwa mwenye jicho la 3 pekee ndiye atayekuelewa vzr.
 
Back
Top Bottom