Nimeamua kutokuoa

Baada ya kutafakar nimegundua kutokuoa kuna maana kubwa sn.Yani ukitaka uishi vzr usioe duniani hapa,nakwambieni kabisa.

Nauliza maswali magumu we me or ke..ukijib nitaendelea
 
Mungu alianzisha ndoa pale alipowabariki Adam na hawa na kuwaambia "Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha." Soma Mwanzo 1:28.

Mkuu umesomeka! kwa mantiki hiyo hata michepuko Mungu kaibariki refer King Suleiman alikua na wake 700 na michepuko 300!
 
ni sawa mkuu..
ila minyege yako isije ikawa sababu ya kutembea na wake zetu..
tutunze wewe ujililie..
tafadhal..
 
Baada ya kutafakar nimegundua kutokuoa kuna maana kubwa sn.Yani ukitaka uishi vzr usioe duniani hapa,nakwambieni kabisa.

Tamuuuuu haya bana umesikika, Mwalimu wa sayansi kimu aliingia leo darasani lakini?
 
Mkuu umesomeka! kwa mantiki hiyo hata michepuko Mungu kaibariki refer King Suleiman alikua na wake 700 na michepuko 300!

Mkuu mfalme Suleiman alikuwa na wake 700 na masuria 300 kwa sababu ya majivuno na tamaa zake za kutaka ufahari. Pili hakuna andiko lolote katika biblia linalosema Mungu pia amebariki masulia. Mungu alibariki ndoa kati ya mume na mke na sio kati ya mume na wake au waume kwa mke au wake kwa waume au waume kwa waume au wake kwa kwa wake.
 

Sasa kama Mungu hakubariki masulia aka michepuko kwanini Suleiman alibarikiwa na Mungu hata akapewa hekima nyingi?
 
Hizo hekima alikuwa nazo kabla ya kupata masuria au alizipata baada ya kupata masuria?

Tatizo watu wamekaririshwa kuwa suleiman alikuwa na masuriya bila kusoma biblia wakaona kipindi gani alikuwa na masuria na kwa nini
 
Asanteni sn wote kwa mawazo yenu na wengine mmepeana mawazo ktk uzi huu,matusi si mazuri.Nimeamua hivo na sitaoa kamwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…