Geee
JF-Expert Member
- Nov 11, 2012
- 465
- 93
Baada ya kutafakar nimegundua kutokuoa kuna maana kubwa sn.Yani ukitaka uishi vzr usioe duniani hapa,nakwambieni kabisa.
Nauliza maswali magumu we me or ke..ukijib nitaendelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kutafakar nimegundua kutokuoa kuna maana kubwa sn.Yani ukitaka uishi vzr usioe duniani hapa,nakwambieni kabisa.
Miaka mitatu nyuma nilikuwa nasema hivyo hivyo, mainly kwa sababu sikuwa naipata picha kichwani mwangu nikiwa na familia. Maza angu akawa ananiambia ni akili ya utoto tu, itaondoka with age. She was right.
wewe na wenzio akina miss chagga ndio mnafanya hawa vijana waogope kuoa!
Dah! Aisee kausha bana. Umri unabadilika kulingana fursa Chief.Bro si ulisema una miaka30 kwenye ndoa!!!
Hehe. Ndio bana.Kwahiyo sasa umekua mdogo wangu? Basi sawaaaaaaaaa
Hehe. Ndio bana.
Mungu alianzisha ndoa pale alipowabariki Adam na hawa na kuwaambia "Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha." Soma Mwanzo 1:28.
Baada ya kutafakar nimegundua kutokuoa kuna maana kubwa sn.Yani ukitaka uishi vzr usioe duniani hapa,nakwambieni kabisa.
Baada ya kutafakar nimegundua kutokuoa kuna maana kubwa sn.Yani ukitaka uishi vzr usioe duniani hapa,nakwambieni kabisa.
Okey, ila bado bado kwanza, maana najua unatumia kauli hiyo ili uanze kumendea vitoto vya jirani, narudia tena bado kidogo ndio utakuwa, so subiri ukue.
Mkuu umesomeka! kwa mantiki hiyo hata michepuko Mungu kaibariki refer King Suleiman alikua na wake 700 na michepuko 300!
Mkuu mfalme Suleiman alikuwa na wake 700 na masuria 300 kwa sababu ya majivuno na tamaa zake za kutaka ufahari. Pili hakuna andiko lolote katika biblia linalosema Mungu pia amebariki masulia. Mungu alibariki ndoa kati ya mume na mke na sio kati ya mume na wake au waume kwa mke au wake kwa waume au waume kwa waume au wake kwa kwa wake.
Sasa kama Mungu hakubariki masulia aka michepuko kwanini Suleiman alibarikiwa na Mungu hata akapewa hekima nyingi?
ww jina lako ulimanisha pills and portion au ni kama ulivyoandika
Hizo hekima alikuwa nazo kabla ya kupata masuria au alizipata baada ya kupata masuria?
Tatizo watu wamekaririshwa kuwa suleiman alikuwa na masuriya bila kusoma biblia wakaona kipindi gani alikuwa na masuria na kwa nini