Nimeamua kuvuta bangi ili kutatua matatizo haya

Nimeamua kuvuta bangi ili kutatua matatizo haya

Dah km kwel sis hik kitu nakutana nacho sasa hv naona mpka familia yangu imentenga nko upweke leo mchumb wangu tumeachan daah asee nifanyaje mimi kuach siwez sasa
Jiweke karibu na familia usiruhusu mmea ukutenganishe nao. Uzuri mimi nasmoke nikiwa kwangu...nikisafiri nasahau kabisaaa. Pia mr nae anasmoke so ni raha tu hakuna kumjudge mwenzake, halafu napenda kukaa mwenyewe so kwangu upweke haunisumbui..
Jitahidii isikucontrol.
 
Mchimba Chumvi,
Kama ni kweli uliyoandika mimi nakushauri hivi. Katu katu usitumie ''ulevi'' wa aina yoyote kufidia udhaifu ulionao. Jambo sahihi la kufanya ni kukubali una tatizo na kuamua kulikabili bila masaada wa ''kilevi''. Bangi inaweza kukuletea negative result ambayo hukutegemea. Na hata ikikuletea matokeo chanya, bado siku moja unaweza kujikuta kwenye mazingira ambayo huipati! Mfano mzuri ni ukisafiri nchi za watu.
Hivi mbona US inaruhisiwa kisheria,? na hata daktari anaweza kukuandikia ukavute kama ukikutwa na shida flani flani za kiafya.
 
Dah km kwel sis hik kitu nakutana nacho sasa hv naona mpka familia yangu imentenga nko upweke leo mchumb wangu tumeachan daah asee nifanyaje mimi kuach siwez sasa
Jitahidi kuacha kwa kujiingiza kwenye uvutaji wa sigara, Yan ukiikumbuka hiyo sigara kubwa unavuta fegi badala yake.
Bila hivo hata jamii itakutenga. Na mwisho wa siku unakosa mwelekeo wa maisha
 
Jiweke karibu na familia usiruhusu mmea ukutenganishe nao. Uzuri mimi nasmoke nikiwa kwangu...nikisafiri nasahau kabisaaa. Pia mr nae anasmoke so ni raha tu hakuna kumjudge mwenzake, halafu napenda kukaa mwenyewe so kwangu upweke haunisumbui..
Jitahidii isikucontrol.
Mimi napendaga fegi zaidi kuliko hayo makitu
 
Back
Top Bottom