Ngadu01
JF-Expert Member
- May 4, 2016
- 503
- 794
Hahahah asante kwa ushairi wa nyota tank boss ila nakushauri urudi kwenye ule wa ADUI WA MAENDELEO yani mtu unaenda bar na laki mbili umepanga kutumia elfu 20 asubuhi unarudi nyumbani na buku tano mfukoni na hofu juu imekutanda maana unakumbuka zilipopanda ukang'oa mlupo ukafanya ngono zembe mkeo hujakaa sawa mara umejitapikia mnimg'inio unakupa mawenge unajisika hovyo unashindwa kwenda kwenye mihangaiko yako ya siku...Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years
Utu uzima dawa! Mnakopita sasa sisi tulishapita salama, lakini kuna uhitaji wa kukumbushana machache, kupeana mbinu na kutiana moyo pia (hapa kwa sehemu hata wadogo zangu wa kike watahusika). Naongelea mabadiliko ya makuzi kihomoni, kimtazamo, kimahusiano na kifikra pia. Kwanza lazima...www.jamiiforums.com
Jr[emoji769]
DONT DRINK AND DRIVE
SMOKE AND FLY HIGH