Nimeamua kuvuta bangi ili kutatua matatizo haya

Nimeamua kuvuta bangi ili kutatua matatizo haya

Pole sana ila niambie nkuletee cha Oldonyosambu ndiyo mwisho wa habari. Yaani utajiona juu ya paa la ofisi hata kama ni ghorofani. Hii kitu hata kaburu ameikubali jombaa.
Angalia usiletewe makata wima ukadanganywa ni kitu ya Chuga jombaa
 
Humu hakuna polisi wakukamate?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana bangi ni kilevi....madactari wanaweza elezea hamna inavyoleta utegemezi( addiction) ktk Maisha. Fahamu tu, utakapoanza tumia.. nakwambia itakuwa umepoteza self control tlk Maisha.utakuwa mtumwa.. yaani bangi ndio itakupa uongozi Wa namna kufanya mambo ktk Maisha. Acha MARA MOJA KUWAZA KUTUMIA...NA BADALA YAKE nenda kwa washauri wasaikologia...hapa siongelei wanasaikologia..bali washauri Wa saikologia...ni watu tofauti Hawa.. akashauri. Kama huna uwezo tafuta sana video clip..zinazoongelea naomna ya kuboost ur self esteem...maana tatizo lako kuu ni kukosa self esteem.. na inavyoonekana tangu utoto huukujengewa hii na wazazi ama Jamii inayokuzunguka. Mara nyingi what we experience in childhood..define our personality. Futa hadithi n a feedback zote negative ulizojengewa utotoni..na Anza kusitathimini uwezo wako...yale utayojiona uko vizuri..jisifu na kidogokidogo utajiamini.
 
Sintasahau siku natest kijenereta changu nimekiwasha kimekaa kama dk 5 hivi akatokea mwamba mmoja simsomi vizuri akaanza kucheza dizaini anaendana na ule mlio wa jenereta. Amecheza wee mara kikawa kimezima mara ananiuliza eti bro hii ngoma ameimba nani, kwa mshangao nikamuuliza ngoma gani anasema si hii niliyokuwa nacheza. Nikaona anazingua nikamwambia imeimbwa na Honda, jamaa likafurahi kweli likaaga kuwa likifika magwtoni litamsaka huyo msanii youtube. Kimoyo moyo nikasema shikamoo bangi
 
Mchimba Chumvi,
Kwahiyo bangi ikiisha kichwani utarudi kwenye aibu/kutokujiamini kwako sio 🤔??

Pole sanaa mkuu, nenda kwa wataalamu wa psychology wakusaidie, huo ushauri wa vijiweni utakupoteza kabisa.
 
Ili ifanye kazi vizuri wakati unavuta sema hivi"bangi nibangue,akili yangu ikue,ntakachofanya nikijue na ulimwengu unijue"
Hapo sasa utaona ardhi kama ina mabonde,mistimu ya umeme kama inakufata vile,wala ww usiogope,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubaya na uzuri wa Marijuana itakupeleka vile vile katika dhamira yako kwa siku za kwanza kuvuta yani the way utavyoswitch ubongo wako sababu inaingia moja kwa moja kwenye THC ndio maana just like kama manuizi flani ndio maana Marastafarai wao wakivuta bangi huwaletea utulivu na fikra za mbali au katika IMANI ya kibuddha ukivuta bangi kabla ya kumeditation unakupa uwezo Mkubwa wa kuvisialize vizuri sana ukiwa kwenye meditation state pia hisaidia sana katika kuchochea kufungua third eye hapo nimekwambia kiimani zaidi sababu nasema manuizi hata mtaani kuna msemo maarufu BANGI NIBANGUE hapo sasa ndio juu yako either in a negative way or positive yani mwengine akivuta akiingia uwanjani anapiga ball balaa mwengine anaweza akafanya kazi kutwa nzima bila kuchoka mwengine yeye anasizi tu kijiweni hana time na maisha akiwa na buku anajiona Bill Gate Mwengine haoni aibu kutukana mtu hata kama ana umri kama wa mzaz wake enzi za chuo nakumbuka kuna jamaa yangu akivuta anapiga msuli mbaya....

All in All kama unaitaka kwa ajili ya confidence Ganja ni nzuri sana kama utaweza kuimudu cha msingi isiikaribishe dharau iingie ndani yake na nakushauri achana kabisa na mambo ya kuvuta bangi maskani...ROLL IT ENJOY IT
 
Daaaa ngoja mimi nikushahuri kitu hapa haraka haraka,
Kama utaamua kuvuta bangi basi usifanye starehe nyingine yoyote ili kuweza kusonga mbele kimaendeleo, acha uzinzi na usiwe mnywa pombe hata kidogo.

Bangi ni nzuri sema sisi ndio wabaya, vuta kidogooo kwa kiasi, usivute sanaaa hadi ukalewa.

Hilo tu mkuu.

Bangi ni mbaya inakatazwa kwa sababu ina bei ndogo, bangi ya buku tu unaeeza rudi kwenu ukitambaa...

Lakini buku yenyewe hata bia tu hupati.
 
Back
Top Bottom