Nimeamua kuvuta bangi ili kutatua matatizo haya

Nimeamua kuvuta bangi ili kutatua matatizo haya

Kuna jamaa nilimpa buku akanunue..
Alileta kiasi ambacho tuliweza kutengeneza misokoto mitatu ya liza imejaa full.
Hiyo sio shada hayo ni makapi ndio maana mnawehuka halafu mnaifanya hii kitu ionekane mbaya mi nikitoa buku 2000 napata stick inayoweza kutoa joints 3 kitu cha kigoma mara moja moja sana ndio navutaga haya mapuya ya moro ambayo moja ni jero kiboko ya yote weed nzuri ni skunk tatizo ni gharama na ukishaizoea ni shida hizi nyengine unaona hovyo kabisa yani kama vile mtu wa Hennessey umpe kvant hato feel good japo zote ni spirit
 
Hayo yako sasa,
Die for what your body/heart need/love
 
Bangi ni kama mapenzi
Kuna watu inawatesa mbaya, na kuna watu hawajui ubaya wake.

Haina madhala sana ukitumia vizur lakin kwa kwa jinsi ambavyo dunia hii imejaa watu wanaoongozwa na mwili na starehe na sio akili ndio maana wakaamua isizuiliwe
kama huku kwetu iwe haramu.
 
Mm natumia kvant chupa ndogo nusu, nachanganya na energy drink, aisee nakuwa na akili nyingi balaa, inanisaidiaga kufanya maamuz magumu kazini, bila hivyo nakuwa na uoga au huruma nyingi..
Daaaa ngoja mimi nikushahuri kitu hapa haraka haraka,
Kama utaamua kuvuta bangi basi usifanye starehe nyingine yoyote ili kuweza kusonga mbele kimaendeleo, acha uzinzi na usiwe mnywa pombe hata kidogo.

Bangi ni nzuri sema sisi ndio wabaya, vuta kidogooo kwa kiasi, usivute sanaaa hadi ukalewa.

Hilo tu mkuu.

Bangi ni mbaya inakatazwa kwa sababu ina bei ndogo, bangi ya buku tu unaeeza rudi kwenu ukitambaa...

Lakini buku yenyewe hata bia tu hupati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi nipo chuo, nlikua na presentation, kabla sijaingia nkanywa viroba viwili, babaa. ... Presentation ilikua amazing darasa zima linacheka lecturer anacheka......yani niliwafurahisha sana darasa
Mkuu mkuu bangi iache tu siku moja kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza tukapewa assignment ya group najicheki mwamba confidence sina na inabidi kupresent kama kesho dadeki nikawaza nafanyaje Mwanangu mmoja kwajina nilikuwa na mwitaga mtoto wa obama akashauri tupige pombe mimi nikamchana itakuwajau.

Nikashauri tupige bangi bwana wewe asubuhi yake tukapiga ganja mwenzangu zikazidi sana mimi sio sana kufuka class presentation ikagairishwa sijui tulipatwa na nini tulitukana sana kusema tunapotezewa muda na maneno mengi plus kuona kama watu wanatembea kama wanakata mauno ilikuwa shidah sana ushauri usitumie usijekuwa kituko.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Honestly speaking haya matatizo yananitesa sana nayo ni kutokujiamini, sijikubali, upweke na stress kupitiliza.

Ni kijana wa early 20 nimeajiriwa kampuni fulani ambayo inanibidi ni interact sana na watu hasa raia wa kigeni, but tatizo linakuja kuwa sijiamini kabisa kitu ambacho kimepelekea performance kuwa mbovu kabisa.

Hivyo kupelekekea kuwa na stress, mpweke na sijikubali kabisa

Finally nimepata idea kutoka kwa mshikaji wangu ambaye kanipa idea ya kutumia bangi na anenihakikishia 100% inaenda kutatua kabisa shida zangu.

Najua wapo madaktari na wabobezi wa madhara au faida ya bangi humu naomba mnipatie a,b,c tafadhali.
Natanguliza shukrani

Jr[emoji769]
 
Nikizidisha kipimo sienjoy....., Unajua saikolojia ya makuzi ndo inatuathiri sisi sometimes tunakosa kujiamini.....kuna uzi upo unazungumzia ma introvent na extrovent, wengine ni asili yao wengine ni athari ya makuzi ya kunyanyapaliwa, tabu, dhiki alizopitia
Ila najua kuna siku huwa kanakuja kaujinga furani unaamua kuzidisha hicho kipimo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jr[emoji769]
 
Kijana bangi ni kilevi....madactari wanaweza elezea hamna inavyoleta utegemezi( addiction) ktk Maisha. Fahamu tu, utakapoanza tumia.. nakwambia itakuwa umepoteza self control tlk Maisha.utakuwa mtumwa.. yaani bangi ndio itakupa uongozi Wa namna kufanya mambo ktk Maisha. Acha MARA MOJA KUWAZA KUTUMIA...NA BADALA YAKE nenda kwa washauri wasaikologia...hapa siongelei wanasaikologia..bali washauri Wa saikologia...ni watu tofauti Hawa.. akashauri. Kama huna uwezo tafuta sana video clip..zinazoongelea naomna ya kuboost ur self esteem...maana tatizo lako kuu ni kukosa self esteem.. na inavyoonekana tangu utoto huukujengewa hii na wazazi ama Jamii inayokuzunguka. Mara nyingi what we experience in childhood..define our personality. Futa hadithi n a feedback zote negative ulizojengewa utotoni..na Anza kusitathimini uwezo wako...yale utayojiona uko vizuri..jisifu na kidogokidogo utajiamini.
Bangi haijengi utegemezi mkuu! kahawa, chai, vinajenga utegemezi (addiction) ila bangi haina...
 
Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

Back
Top Bottom