Nimeamua kuvuta bangi ili kutatua matatizo haya

Nimeamua kuvuta bangi ili kutatua matatizo haya

Baadhi ya nchi bangi hutumika kama dawa hii ni true kabisa kiscience pia mafuta yatokanayo na mmea wa bangi ni dawa kiboko kabisa ya sikio kwa sisi tunaomoka tunaitumia kama dawa ya depression Mara moja moja japo sio suluhisho ila kwa kurelax bangi ni kiboko alcohol inasubiri mbali sana
Nimeona fursa hapo ngoja nijifunze kutengeneza mafuta yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Honestly speaking haya matatizo yananitesa sana nayo ni kutokujiamini, sijikubali, upweke na stress kupitiliza.

Ni kijana wa early 20 nimeajiriwa kampuni fulani ambayo inanibidi ni interact sana na watu hasa raia wa kigeni, but tatizo linakuja kuwa sijiamini kabisa kitu ambacho kimepelekea performance kuwa mbovu kabisa.

Hivyo kupelekekea kuwa na stress, mpweke na sijikubali kabisa

Finally nimepata idea kutoka kwa mshikaji wangu ambaye kanipa idea ya kutumia bangi na anenihakikishia 100% inaenda kutatua kabisa shida zangu.

Najua wapo madaktari na wabobezi wa madhara au faida ya bangi humu naomba mnipatie a,b,c tafadhali.

Natanguliza shukrani
Ata mm nakushauri utumie hio

Matokeo ya kuvuta bangi hutofautiana
 
Nakushauri upige sativa pafu moja au mbili ukiwa haupo kazini, usijiroge ukapiga indica kama siyo mzoefu,afu jiulize ni sawa kwenda kazini nikiwa na stimu za bhange au siyo sawa.
 
Dah huu mmea salute. Siku nimesema ngoja nivute kwa mara ya kwanza nikaenda maskani ikaundwa pale basi jamaa wakaniachia pull zima nikawa napiga taratibu mara nashangaa jamaa wanainuka wanakimbia mimi sina habari kushtuka tayari nina pingu mkononi.

Bahati nzuri polisi mmoja ni best wa dingi ikabidi ashangae kijana tokea lini unatumia hii kitu nikamwambia nilijua ni fegi wakaniacha nikasepa ghetto. Ila siku hiyo nilikuwa na raha kinoma sio kawaida.
 
Haya mambo mengine yasikie tu kwa jirani. Lakini nakuambia huyo rafiki yako inaweza kumsaidia yeye lakini wewe ndio ikawa worse zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakushauri upige sativa pafu moja au mbili ukiwa haupo kazini, usijiroge ukapiga indica kama siyo mzoefu,afu jiulize ni sawa kwenda kazini nikiwa na stimu za bhange au siyo sawa.
Hahahaha wewe jamaa wewe yani biginner unamshauri aanze na Indica kwanza kibongobongo Ni ngumu sana kupata hii kitu maybe NAOROBI na baadhi ya maeneo ya ARUSHA
 
Bangi vuta kwa starehe zako sio kwa malengo hayo unayosema hapa.
 
Suluhisho la kuto jiamini ni kutafuta zaidi nafasi za kufanya kile unachohisi huwezi. Mazoezi pekee ndio sukuhiso, kuongea katika hadhara inataka uzoefu ambao hata uvute nini hutapata.
namshauri mleta mada afuate ushauri wako!
 
Tambua sababu zinazokukosesha confidence kwanza.

-unafanya kazi ambayo huijui hivyo unahisi kila unachofanya unakosea?

-una mapungufu yoyote mwilini hivyo unahisi watu humakinika na hayo/huo upungufu badala ya kusikiliza/kutazama unachokifanya?

-unatukanwa/unabugudhiwa na boss wako kila mara mpaka kupelekea kudharauliwa na wafanyakazi wenzio?

Kuna maswali mengi sana ambayo siwezi kuyaandika, wewe ndiyo unatakiwa utoe ushirikiano kujua chanzo cha tatizo ili kupata suluhisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom