Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Akikustua unistue na mimiIkikuasidia unistue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akikustua unistue na mimiIkikuasidia unistue
Aliyempa wazo ndiye atangulie hospitalUsivute ina madhara so nenda hospital utapata msaada na huyo rafiki aliye kupa wazo hili ndo mchawi wakwanza
Over
Tetrahydrocannabinol (THC)Chemicals gani hizo mkuu, ebu nitajie hata tano niongeze knowledge.
Bangi itakufanya uwe mpweke zaidi, utajisikia kujitenga na watu. Kiufupi haitakusaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
kijana kumbe yuko seriously lazima atatumia bange2018 uliomba msaada wa kazi ukisema usipopata kazi unaweza kua stressed na kutumia madawa ya kulevya,umepata kazi unaanza kulia lia ukisema unataka kuvuta bangi tena.
Vuta tu dogo.View attachment 1323397
dodge
Kiukweli hayo ndo madhara makubwa. Hutapenda jichanganya na watuHata nanii yuko hvhv ulivyoandika ww![emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndumu je?Mchimba Chumvi, Siku nyingine usiite bangi maana hili jina limekaa kihuni huni sana ita Dawa,Todi,Kaya,misumari,kijiti ,Nyasi samusing laiki zati
ni kitu cha amani ambacho hakina tatizo na mtu kabisaa mkuu niamin mimi tumia na uta kuja nipa mrejesho
Hahaaaa bangi nibangue watu wote niwaone kama sisimizi!!Bangi ina chemicals zaidi ya 400
So, kuwa makini unapoivuta inaweza kukupa kujiamini au kutokujiamini (kujishtukia)
Unaweza kujiamini kupitiliza, Boss ukamuona kama mfanya usafi
Ila ina faida nyingi pia kama ukiivuta.
Bagwell
Barikiwa. 🙏Tetrahydrocannabinol (THC)
Cannabidiol (CBD)
Terpenoids
Cannabinol
Tetrahydrocannabivarin
Bagwell
Unasikia kitu sasa bia moja?
Duh kumbe tupo wengivuta rastaaaaa tupo pamoja mwenyewe imefikia sipati mzuka na msosi hadi nismoke
Bangi za buku huko kwenu ni misokoto mingapi mkuu?Uasikia kitu sasa bia moja?
Kale bangi za buku uune kitakachokutokea.