Dah km kwel sis hik kitu nakutana nacho sasa hv naona mpka familia yangu imentenga nko upweke leo mchumb wangu tumeachan daah asee nifanyaje mimi kuach siwez sasaBangi itakufanya uwe mpweke zaidi, utajisikia kujitenga na watu. Kiufupi haitakusaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
KajinyongeDah km kwel sis hik kitu nakutana nacho sasa hv naona mpka familia yangu imentenga nko upweke leo mchumb wangu tumeachan daah asee nifanyaje mimi kuach siwez sasa
Jiweke karibu na familia usiruhusu mmea ukutenganishe nao. Uzuri mimi nasmoke nikiwa kwangu...nikisafiri nasahau kabisaaa. Pia mr nae anasmoke so ni raha tu hakuna kumjudge mwenzake, halafu napenda kukaa mwenyewe so kwangu upweke haunisumbui..Dah km kwel sis hik kitu nakutana nacho sasa hv naona mpka familia yangu imentenga nko upweke leo mchumb wangu tumeachan daah asee nifanyaje mimi kuach siwez sasa
Hivi mbona US inaruhisiwa kisheria,? na hata daktari anaweza kukuandikia ukavute kama ukikutwa na shida flani flani za kiafya.Mchimba Chumvi,
Kama ni kweli uliyoandika mimi nakushauri hivi. Katu katu usitumie ''ulevi'' wa aina yoyote kufidia udhaifu ulionao. Jambo sahihi la kufanya ni kukubali una tatizo na kuamua kulikabili bila masaada wa ''kilevi''. Bangi inaweza kukuletea negative result ambayo hukutegemea. Na hata ikikuletea matokeo chanya, bado siku moja unaweza kujikuta kwenye mazingira ambayo huipati! Mfano mzuri ni ukisafiri nchi za watu.
Jitahidi kuacha kwa kujiingiza kwenye uvutaji wa sigara, Yan ukiikumbuka hiyo sigara kubwa unavuta fegi badala yake.Dah km kwel sis hik kitu nakutana nacho sasa hv naona mpka familia yangu imentenga nko upweke leo mchumb wangu tumeachan daah asee nifanyaje mimi kuach siwez sasa
Mimi napendaga fegi zaidi kuliko hayo makituJiweke karibu na familia usiruhusu mmea ukutenganishe nao. Uzuri mimi nasmoke nikiwa kwangu...nikisafiri nasahau kabisaaa. Pia mr nae anasmoke so ni raha tu hakuna kumjudge mwenzake, halafu napenda kukaa mwenyewe so kwangu upweke haunisumbui..
Jitahidii isikucontrol.
Sigara hapana..madhara yake ni makubwa mno kuliko bangiMimi napendaga fegi zaidi kuliko hayo makitu
M CITY ZIPODah kitu cha strawberry paper hicho hizo paper unanunuaga wapi mwanangu mi napendaga za lemon ila jamaa anaenileteaga now yupo zenji nipe direction mkuu
M/city zipo za kila ainaHuwa sinunui pepa mkuu , Hata kuroll sijui kuna mwana (Pusha) Huwa nampa tenda anaroll Napitia ila nitamuuliza anapata wapi nitakujulisha
Navutaga mara chache sana, bangi sijawahi maiiiSigara hapana..madhara yake ni makubwa mno kuliko bangi