Nimeamua kuwa na Mchepuko. Mke Haeleweki, mawasiliano kila siku na wakwe, mashemeji, mawifi, wa X- Wake

Umetoka kwenye tope umerukia kwenye kinyesi.
Mchepuko ni laana
Mchepuko ni chui
Mchepuko ni nyoka
Mchepuko ni fisi
Mchepuko ni moto
Mchepuko ni mto
Mchepuko ni mafuriko
Mchepuko ni mchuna ngozi.

KAma wewe ni mwanamme halisi ulipaswa umwambie mke achague kati yako na X na nduguze.

Tabia ikijirudia unawaita ndg unamkabidhi mtoto wao nawe uoe mwingine tasmi.

Ukianzisha mchepuko, utaendelea kuwapanga kwani hata huyo mchepu atakuudhi so utatamani mwingine
 
Mchepuko usiwe wa kudumu ni ule wa kubutua na kusepa... mbona nyani zipo nyingi tu kitaa.
 
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…