Nimeamua kuwa na Mchepuko. Mke Haeleweki, mawasiliano kila siku na wakwe, mashemeji, mawifi, wa X- Wake

Leo nimeamua kutafuta Mchepuko,baada ya kuona mke nilie nae Haeleweki. Tatizo kubwa linalonikera kwa mke wangu, ni mawasiliono na ndugu wa X-Wake(wakwe,mashemeji,mawifi,nk)

Nimejaribu kumueleza Hilo Jambo silipendi Naona mke wangu Hilo Jambo linaendelea, Sasa nimeamua kutafuta tu Mchepuko,ingawa haikua dhamira Yangu kua na Mchepuko.

Nilikua najenga Nyumba Ila kutokana na Mazingira ya mke wangu siyaelewi nimeuza hiyo Nyumba last week.

Mke wangu ameniomba Mara kadhaa Baadhi ya Mambo nimeshindwa kumtimizia kutokana na Hilo Tatizo ambalo kila Ni kimkataza anaendelea nalo. Mambo alioniomba yapo ndani ya uwezo wangu lakini,nilimjibu Sina uwezo huo.

Nimeona Bora kutafuta Mchepuko Maisha yaendelee. Yeye aendelee kuwasiliana na wakwe,mashemeji, na mawifi wa X-wake, na Mimi ntakua nawasiliana na Mchepuko wangu.
Umetoka kwenye tope umerukia kwenye kinyesi.
Mchepuko ni laana
Mchepuko ni chui
Mchepuko ni nyoka
Mchepuko ni fisi
Mchepuko ni moto
Mchepuko ni mto
Mchepuko ni mafuriko
Mchepuko ni mchuna ngozi.

KAma wewe ni mwanamme halisi ulipaswa umwambie mke achague kati yako na X na nduguze.

Tabia ikijirudia unawaita ndg unamkabidhi mtoto wao nawe uoe mwingine tasmi.

Ukianzisha mchepuko, utaendelea kuwapanga kwani hata huyo mchepu atakuudhi so utatamani mwingine
 
Mchepuko usiwe wa kudumu ni ule wa kubutua na kusepa... mbona nyani zipo nyingi tu kitaa.
 
Leo nimeamua kutafuta Mchepuko,baada ya kuona mke nilie nae Haeleweki. Tatizo kubwa linalonikera kwa mke wangu, ni mawasiliono na ndugu wa X-Wake(wakwe,mashemeji,mawifi,nk)

Nimejaribu kumueleza Hilo Jambo silipendi Naona mke wangu Hilo Jambo linaendelea, Sasa nimeamua kutafuta tu Mchepuko,ingawa haikua dhamira Yangu kua na Mchepuko.

Nilikua najenga Nyumba Ila kutokana na Mazingira ya mke wangu siyaelewi nimeuza hiyo Nyumba last week.

Mke wangu ameniomba Mara kadhaa Baadhi ya Mambo nimeshindwa kumtimizia kutokana na Hilo Tatizo ambalo kila Ni kimkataza anaendelea nalo. Mambo alioniomba yapo ndani ya uwezo wangu lakini,nilimjibu Sina uwezo huo.

Nimeona Bora kutafuta Mchepuko Maisha yaendelee. Yeye aendelee kuwasiliana na wakwe,mashemeji, na mawifi wa X-wake, na Mimi ntakua nawasiliana na Mchepuko wangu.
Naam
 
Back
Top Bottom