Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,602
- 5,809
- Thread starter
- #81
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lady doctor. Tehe tehe.
uzee mwisho chalinze mjin type za kina Bishanga woooote ni ma beibe
unacheka nini???? Hebu niambie hizo hasira zako kabla sija kudalika
maumivu ya wapi labda....? hebu niambie ili niweze kujiandaa
Heaven on earth. Anayejua thamani ya wazee ni Zahra White.
Alikutana na mikoto ya zilipendwa hadi akaomba poo.
Wazee hoyeee.
kwa niaba ya Zahra White ngoja niitikie oyeeeeeeeeeeeeeee
Lady doctor.
Nimeshamkabidhi Passion Lady jalada lako. Ataamua akupe adhabu gani na iwe ya maeneo gani.
Ila jiandae.
Heaven on earth. Unaufafahamu mikito ya wazee ama unaitikia tu??
Lady doctor.
Nimeshamkabidhi Passion Lady jalada lako. Ataamua akupe adhabu gani na iwe ya maeneo gani.
Ila jiandae.
si nimesema kwa niaba......mi siifahamu ila si nilikwambia nahitaji kuifaham
hapo ndio umechemsha ni sawa na kumwambia Lady doctor amng'oe kifanyio Arushaone
unadhani inawezekama
Mzee nataka kukijua ndio maana nimeitikia kwa mbwembwe zote......Heaven on earth. Nilijua tayari ushaelekezwa.
Imekuwaje ukaitikia kitu usichokijua????
Kuitikia kitu usichokijua, ni hatari kwa afya yako.
Bishanga anasema asisumbuliwe..yuko kifuani kwa mtu sa hivi.........