Kabisa atafute 15m ndo uhakika japo anaweza baki na chenji kidogo10m hadi 15m unakamilisha
Kabisa atafute 15m ndo uhakika japo anaweza baki na chenji kidogo
Ikishakuwa ghorofa tu bila kujali ukubwa wake, kuna vibali vingi unatakiwa kuwa navyo, pia mainjia wa serikali lazima walambe chao ndo mambo yataenda sawa. Hizo zote ni additional cost ambazo hazikwepeki
Mayu hilo ni jumba kubwa kivipi? Hiyo room 2&3 ni extension, slab inaishia lounge na jiko ambapo unaweza hata kufanya upana ft 13Sitaki nijenge jumba kubwa mwisho wa siku liitwe pagala mkuu [emoji28],nyumba kama hiyo kupiga tu plasta fundi maiko anaweza akatumia mifuko 300 ya cement [emoji276]
Mayu hilo ni jumba kubwa kivipi? Hiyo room 2&3 ni extension, slab inaishia lounge na jiko ambapo unaweza hata kufanya upana ft 13
Weka floor plan mkuuJichange change mkuu usiwe na haraka mambo mazuri yapo tu View attachment 2429300View attachment 2429301
Shida kubwa hela itaenda kwenye nguzo na nondo
Ukiwa na mil 50 unaweza sogeza sogeza
Darasa kama boma mil.20Sio mradi wa serikali mkuu
Usiogope mkuu, fuata standard zote za ujenzi, hakuna baya litatokea otherwise ukose usimamizi.Baada ya ghorofa kupiga mzinga huko moshi vijijini,nimekaa chini nimetafakari na kugundua inatakiwa nijipange kweli kweli ili nijenge msingi imara maana ndoto zangu ni kutumia nondo za 12mm kwenye columns na 10mm kwenye beams kwenye slaps nilitaka kutumia 8mm ili kupunguza gharama bado natafakari kwanza![emoji276]
Na utafanikisha bi idhnillah mkuu 🙏Ngoja aweke tuone kama ndoto itakuwa kweli inshaallah
Usiogope mkuu, fuata standard zote za ujenzi, hakuna baya litatokea otherwise ukose usimamizi.
Nguzo na beams usitumie chini ya 12mm, slab 10mm iko Safi zaidi. 8mm tumia kwa links pekee. Slab mimina 5in iko poa. Chuma nunua BS sio local.
Mwenyewe hapo nimerudi nyuma na ile ramani yangu.Baada ya ghorofa kupiga mzinga huko moshi vijijini,nimekaa chini nimetafakari na kugundua inatakiwa nijipange kweli kweli ili nijenge msingi imara maana ndoto zangu ni kutumia nondo za 12mm kwenye columns na 10mm kwenye beams kwenye slaps nilitaka kutumia 8mm ili kupunguza gharama bado natafakari kwanza![emoji276]