mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,682
- 10,801
Kabisa atafute 15m ndo uhakika japo anaweza baki na chenji kidogo10m hadi 15m unakamilisha
Ikishakuwa ghorofa tu bila kujali ukubwa wake, kuna vibali vingi unatakiwa kuwa navyo, pia mainjia wa serikali lazima walambe chao ndo mambo yataenda sawa. Hizo zote ni additional cost ambazo hazikwepeki