Nimeamua liwalo na liwe!

Nimeamua liwalo na liwe!

10m hadi 15m unakamilisha
Kabisa atafute 15m ndo uhakika japo anaweza baki na chenji kidogo

Ikishakuwa ghorofa tu bila kujali ukubwa wake, kuna vibali vingi unatakiwa kuwa navyo, pia mainjia wa serikali lazima walambe chao ndo mambo yataenda sawa. Hizo zote ni additional cost ambazo hazikwepeki
 
Sawa kiongozi nitatenga laki 2 ya kubrashia viatu waunga mkono juhudi [emoji851]Elfu 50 kwa migambo hewa
 
Sitaki nijenge jumba kubwa mwisho wa siku liitwe pagala mkuu [emoji28],nyumba kama hiyo kupiga tu plasta fundi maiko anaweza akatumia mifuko 300 ya cement [emoji276]
Mayu hilo ni jumba kubwa kivipi? Hiyo room 2&3 ni extension, slab inaishia lounge na jiko ambapo unaweza hata kufanya upana ft 13
 
Nachoogopa mimi nguzo na slap likichukua eneo kubwa mfuko lazima utoboke sana!,sasa hapo kwenye futi 13 x13=169SQM,sasa hiyo ni nyumba inayogharimu kuanzia milioni 70 hadi 84 maximum,nataka angalau kighorofa kisizidi milioni 40 hadi mtu ukijenga kwa miaka mitatu hausikii kabisa maumivu maana ni sawa na ku make milioni moja na laki moja kwa mwezi [emoji851]nzua mugende nikizenga numba nziza ibii [emoji28]
 
Shida kubwa hela itaenda kwenye nguzo na nondo

Ukiwa na mil 50 unaweza sogeza sogeza

Hivi milioni hamsini mnaichukuliaje lkn [emoji276]?ukitaka kujua milioni 50 ni nyingi nenda kakope bank hata laki mbili tu uone taratibu zake [emoji28]
 
Baada ya ghorofa kupiga mzinga huko moshi vijijini,nimekaa chini nimetafakari na kugundua inatakiwa nijipange kweli kweli ili nijenge msingi imara maana ndoto zangu ni kutumia nondo za 12mm kwenye columns na 10mm kwenye beams kwenye slaps nilitaka kutumia 8mm ili kupunguza gharama bado natafakari kwanza![emoji276]
 
Usiogope mkuu, fuata standard zote za ujenzi, hakuna baya litatokea otherwise ukose usimamizi.
Nguzo na beams usitumie chini ya 12mm, slab 10mm iko Safi zaidi. 8mm tumia kwa links pekee. Slab mimina 5in iko poa. Chuma nunua BS sio local.
 
Shukrani sana kiongozi [emoji1488]
 
Baada ya ghorofa kupiga mzinga huko moshi vijijini,nimekaa chini nimetafakari na kugundua inatakiwa nijipange kweli kweli ili nijenge msingi imara maana ndoto zangu ni kutumia nondo za 12mm kwenye columns na 10mm kwenye beams kwenye slaps nilitaka kutumia 8mm ili kupunguza gharama bado natafakari kwanza![emoji276]
Mwenyewe hapo nimerudi nyuma na ile ramani yangu.
 
Mwenyezi Mungu tu anijalie uhai na afya tele ndio mtaji tosha,mengine nitapambana mwenyewe!
Maana mwenyezi Mungu asema hivi,Mimi Ndio Mungu nikupaye nguvu za kupata utajiri
 
IMG_2860.jpg
 
Wakuu nimeamua mwaka huu nianze na msingi wa ghorofa ila uamuzi kamili nitautoa hapo baadae [emoji276]
 
Back
Top Bottom