Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo ghorofa complete na miundombinu yote. Mbona ndogo hiyo.40m ujenge chumba kimoja?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani unataka kujenga nyumba au mnara wa maji?
Ghorofa ya chumba kimoja tu!!!
Hapana..... finishing na mazagazaga yake unajua bei yake?Zingatia vipimo mkuu mita 5 kwa 5 ,hiyo milioni 40 unajenga ghorofa ya vyumba viwili kabisa
Hatutakuja elewana, kama finishing yako unawaza vitasa.Finishing sio lazima wote tuweke vitasa vya laki 5,unaweza ukaweka cha Elfu 15 na maisha yakaendelea
Hebu fanya hivi, andaa pesa ya vitu vifuatavyo:
Nimecheka hatariii asbh nilkkuelewa tofauti ila sasa hv nimekusomaUnataka kujenga wewe au mimi mkuu?,yaani pesa yangu unipangie matumizi [emoji28]ndio ile ukiagiza chai [emoji477]️ lazima uletewe na chapati mbili [emoji276]nayetaka kujenga ni mimi chumba juu sebule chini kama inavyoonekana kwenye picha
Wew kweli unania ya kujengaa hongera sana mijitu eti mkp waweke tail za spanish wakt kuna tails box moja elf 17Finishing sio lazima wote tuweke vitasa vya laki 5,unaweza ukaweka cha Elfu 15 na maisha yakaendelea
Hebu fanya hivi, andaa pesa ya vitu vifuatavyo:
Mchanga Mendes 1
Kokoto Mende 1
Mawe fuso 1
Chuma:
12mm PC 8
10mm PC 30
8mm PC 10
Binding wire bandle 1
Cement mifuko 50
Tank la maji(Lita 2000) itafaa zaidi
Tofali sijui (maana sijui utatumia aina ipi kulingana na ulipo.
Kwa ufupi ukiwa na 10M itakusogeza sana.