Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 666
- 1,255
Andaa 30m
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wew kweli unania ya kujengaa hongera sana mijitu eti mkp waweke tail za spanish wakt kuna tails box moja elf 17
Inaonekana una unapiga mahesabu ya kichwa na sio reality sisi wenye magorofa tunakucheck tu😄Zingatia vipimo mkuu mita 5 kwa 5 ,hiyo milioni 40 unajenga ghorofa ya vyumba viwili kabisa
Dah!Wakuu bado nahitaji wataalamu ili kufikia ndoto yangu!nina alegi na nyumba kubwa [emoji851]lengo bado ni hili hili la min ghorofa ukubwa ni ule ule mita 5 kwa 5, si ni sawa na SQM 25 wakuu ama sipo sahihi?,na kama nikiwa sahihi ina maana 25x 500,000=12500000tsh nitakuwa nimemaliza kabisa sebule chini [emoji2956]ina maana nikifanya 25x25(juu na chini)=50SQMx500000=25000000tsh ,nitakuwa nimekamilisha ndoto za kutema mate nikiwa juu!ama naongopa ndugu zangu?
Nimependa sana spirit yako mkuu 😃😃 usiforce tufanane !!Finishing sio lazima wote tuweke vitasa vya laki 5,unaweza ukaweka cha Elfu 15 na maisha yakaendelea
Jichange change mkuu usiwe na haraka mambo mazuri yapo tu View attachment 2429300View attachment 2429301
Sawa Sawa mkuu. Pambania malengo yako. Liwalo na liwe [emoji23]Ghorofa nzuri sana mkuu,ila mimi nayotaka ni just one single room [emoji276]hapa naomba tuwekane sawa [emoji28]nitaishi peke yangu sifugi majini kiongozi mimi ni jesh la mtu mmoja tu familia nitawajengea banda pembeni
Wakuu ndoto yangu mwenyezi Mungu akinijalia uzima ni lazima nijenge kighorofa chumba kimoja tu!
Kutema mate ukiwa juu aisee kuna raha yake! Kupiga bao ama kushangilia goli ukiwa juu!
Wataalamu chumba kimoja na sebule yaani sebule chini chumba juu kwa makadirio inaweza kunicost bei gani?
Ukubwa ni mita 5 kwa 5.
View attachment 2424451
View attachment 2424452
View attachment 2430733View attachment 2430734View attachment 2430735
Naamini hii design ni simple and standard. Haitakuwa na gharama kubwa