Nimeamua niachane na mke wangu sababu muonekano wake haunivutii

Nimeamua niachane na mke wangu sababu muonekano wake haunivutii

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
689
Reaction score
3,373
Hajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano.

Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure.

Hope atapata anaemkubali
 
Huyo mwanamke akuviziee akumwagie maji ya motoo usoo uchakaee huooo[emoji706][emoji706] Alokwambia mwanamke anakuwa mzuri kadiri unavyoishi nae nani??? Huyo mbaya leo unamuachia nanii...?? Wanaume wote tukisema tuache wanawake zetu kisa wamekuwa wabaya baada ya kufunga nao ndoa na kuishi nao hakuna ndoa ingebaki nakwambia.. alafu mbaya zaidi ukute umemzalisha na watoto yani[emoji35][emoji35][emoji35]
 
Yaani umemchakaza mtoto wa watu, umembiduabidua kila style umemchoka unataka umwache njia panda? Ukipigwa petrol ukifa ndugu zako waanze kulaumu wakati umempotezea muda na si ajabu ushamzalisha kama watoto wawili, kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa
 
Hajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano.

Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure.

Hope atapata anaemkubali
🤣🤣🤣🤣🤣 Mke wako ashkuru Mungu kukupoteza...huna future kwa mawazo haya.
 
Hajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano.

Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure.

Hope atapata anaemkubali
Mkuu unajua tayari ushakufuru aisee em rudi mwombe bibie msamaha aisee dhambi itakutafuna usipofanya ivyo. Period
 
Mwanamke mzuri ni yule ambaye hujamla tu

Hata awe mkali kiasi gani ukisha-mfunua tu ni wa kawaida sana!

Inahitaji uwe na akili ya familia uvumilivu na ukomavu wa akili kudumu kwenye ndoa!

Kama una hela na bichwa maji usiye na msimamo utaoa na kuacha hadi pale maisha yatakapokupiga ndio akili inakaa!.
 
Huyo mwanamke akuviziee akumwagie maji ya motoo usoo uchakaee huooo[emoji706][emoji706] Alokwambia mwanamke anakuwa mzudi kadiri unavyoishi nae nani??? Huyo mbaya leo unamuachia nanii...
Itakusaidia nini kutoa laan kama hii?
 
Hajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano.

Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure.

Hope atapata anaemkubali
We jamaa nimekuelewa sana, mie nimewahi kupitia kipi ndi kigumu sana kwenye ndoa yangu ya Awali. Nilikurupukaga kwenda kuoa bila kujipa muda wa Uchumba na kufahamiana vyema, niseme tu kuwa yule mwanamke sikua nimempenda ila nilikuwa nimemtamani kwani kumpenda kule hakukua kwa muda mrefu, ndipo nilipoona maumivu na majuto kwanini niliamua kumuoa kama sikua simpendi. Ila kwa sababu ya Dini, niliandika Taraka tatu mbele ya kikao vha ndugu. Ila nilimueleza ukweli wa Moyo nikiogopa kuendelea kumtesa kihisia nikaona afadhali nimwambie ukweli. Nilijitahidi kutokuonyesha ila sikua tu na hisia naye kabisa.
Na hili limenitafuna sana kwenye akili yangu kwani nimekua najihisi mwenye makosa sana kwa kumuumiza mtoto wa watu. Ila sasa hivi namshukuru Allah, amepata Bwana mwingine na wameshaoana na wana mtoto. Ila sitarudia ujinga wa kuoa bila kukaa kwenye mahusiano. Sijajua mtoa uzi ameandika huu uzi kufurahisha jamvi yaani Chai au anamaanisha. Polee kwa Bidada ila amemsaidia sana huyo mdada, ataumia lakini atapona na kurudi kwenye ubora wake.
 
Mwanamke mzuri ni yule ambaye hujamla tu

Hata awe mkali kiasi gani ukisha-mfunua tu ni wa kawaida sana!

Inahitaji uwe na akili ya familia uvumilivu na ukomavu wa akili kudumu kwenye ndoa!

Kama una hela na bichwa maji usiye na msimamo utaoa na kuacha hadi pale maisha yatakapokupiga ndio akili inakaa!.
Very true.

Demu ni mkali tu kabla hujamtafuna.
 
Back
Top Bottom