Nimeamua niachane na mke wangu sababu muonekano wake haunivutii

Yaani mke wake ni tipwatipwa A.K.A kibonge nyanya sasa shida inaanzia hapo, huyo mwanamke atalia sana kuambiwa kiuno na mgongo vimeungana na shingo na mabega vimeungana atalia sana inabidi aanze gym mara moja na apunguze kula kula hovyo.
Bora ata angekua na nyama basi, ni kibanzi
 
Hajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano.

Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure.

Hope atapata anaemkubali
Dah..... Mungu auponye moyo wa huyu dada
 
Hapo unakuta dada wa watu aliwatosa weng waliompena kwa ajil yako....just imagine jaman how painful and pitful she is now!!!nipe connection mkuu nimliwaze mm alaaa
 
Hajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano.

Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure.

Hope atapata anaemkubali
Madhara ya kuolea Genye, Ona sasa ukaangukia kwenye POLYGON, nani unataka umuachie.. hope umemharibu wewe hata kama shape yake haikuwa hivyo at first
 
Hajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano.

Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure.

Hope atapata anaemkubali
Nahisi ulianza uhusiano naye ukiwa huna pesa now umepata you can afford wale unaowataka.
Hii inatokea kwa wanaume wengi, wanaowataka hawawafford so wanaoa wale wanaowafford halafu maisha yakichange anaanza chepuka na anaowafford
 
Hujamuona ndo mana, sina rogo mbaya, hivi hujawahi ona watu nguo hata iweje haiwapendezi?
usijitetee mkuu..wewe ni mbinafsi..kama unampend huyo mke wako mwambie ukweli kuwa shepu yake haikuvutii...na ili uendele nae mweke wazi kuwa anatakiwa kufanya mazoezi apungue.yawezekana penvine labda kazaa ndio mana kanenepa hivyo.mbona huwazi positive mshkaji wangu?
 
Keshasema ni kibanzi aka kimbaumbau
 
Hajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano.

Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure.

Hope atapata anaemkubali
Huu ni uuongo Tena Chai isiyokuwa na Olivia ndani yke! Mxiiiu
 
Hajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano.

Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure.

Hope atapata anaemkubali
Sawa mkuu ni swala la muda tu,huyu utakayempata mwenye lishepu naye anakuvutia kasi,na wewe siku shepu yako ikivurugwa tu naye anakuacha,muda ndio utazungumza....
 
Back
Top Bottom