Nimeamua niachane na mke wangu sababu muonekano wake haunivutii

Nimeamua niachane na mke wangu sababu muonekano wake haunivutii

A wise man once said "
Kwa kuwa umeamua sawa.

Binafs nina miaka 21 kwenye ndoa miaka 4-6 mwanzoni nilikuwa na mawazo hayo lkn hakuna mwanamke mbaya.

Namshukuru, nimekuwa naishi na mwanamke wa nguvu bila kujua.

Awali. Nilikuwa na sex na madem tofauti tofauti na wife pia napigilia.

Baadae nikakutana na Dem mmj mtamu kupindukia. Nikaanzisha vituko na vitimbwi niachane naye. Loosalale.

Mpango ukakwama, nikabaki naye Hadi Leo. Mwanamke mbaya kwako ni yule unayedhani unampendaa na anakuvutia, kumbe yy anamvutia kila mwanaume.....ukiishi naye jiandae kukasirishwa na tabia za kujihusisha na wanaume wengine Kwa sababu nao wanavutiwa naye.

Uliye naye komaa nae ni mzuri na utagundua hapo baadae. Mwanamke ni mtoto jitahidi umuelekeze. Hata kama ana PhD nyumbani muelekeze, hata kupanua mguu muelekeze.

Akifanya kiburi muache piga mademu wa nje kama Kawaida..ukipoza machungu ya kiburi Cha mkeo.

Mwanamke asiyependa ndoa yake atafanya kiburi nyumban. Nenda naye akikomaa wewe mzalishentu
"
 
Hv bado kuna wanaume wanaoa kwa kigezo cha shape au tako?
Mke ni Package asee! Uzuri na Shape ni vya muhimu hata kidogo basi uwe unapata midadi ukimuona mnapokua wawili uwe u aweza kupandisha mnazi. Mambo ya Tabia na Akili hufuata baada ya kuona kama anafaa kwa matumizi. Kukaa na mwanamke hakuvutiini zaidi ya Jela.
 
We jamaa nimekuelewa sana, mie nimewahi kupitia kipi ndi kigumu sana kwenye ndoa yangu ya Awali. Nilikurupukaga kwenda kuoa bila kujipa muda wa Uchumba na kufahamiana vyema, niseme tu kuwa yule mwanamke sikua nimempenda ila nilikuwa nimemtamani kwani kumpenda kule hakukua kwa muda mrefu, ndipo nilipoona maumivu na majuto kwanini niliamua kumuoa kama sikua simpendi. Ila kwa sababu ya Dini, niliandika Taraka tatu mbele ya kikao vha ndugu. Ila nilimueleza ukweli wa Moyo nikiogopa kuendelea kumtesa kihisia nikaona afadhali nimwambie ukweli. Nilijitahidi kutokuonyesha ila sikua tu na hisia naye kabisa.
Na hili limenitafuna sana kwenye akili yangu kwani nimekua najihisi mwenye makosa sana kwa kumuumiza mtoto wa watu. Ila sasa hivi namshukuru Allah, amepata Bwana mwingine na wameshaoana na wana mtoto. Ila sitarudia ujinga wa kuoa bila kukaa kwenye mahusiano. Sijajua mtoa uzi ameandika huu uzi kufurahisha jamvi yaani Chai au anamaanisha. Polee kwa Bidada ila amemsaidia sana huyo mdada, ataumia lakini atapona na kurudi kwenye ubora wake.
Nawashangaa wanaombishia mtoa maada. Asee mwanamke asiyekuvutia n vgumu sana kuishi naye. Nina dem flan hv tuna mahusiano miaka kadhaa, hajawahi omba hata mia, kuja kwangi anatumia nauli yake, ananiletea na mazawadi, ananipa mbususu mda wwte nkitaka.

Ila sjawahi kumtamkia neno "nakupenda" kwa sababu staki kusema uongo. Anaweza npigia smu akanambia amenimiss lakn sjawahi kumjibi kwamba nimemmiss.

Saiz nko mkoani kikaz, mwez huu kapewa likizo kazn kwake anataka kuja lakn nmemdanganya kwamba nimesafiri kuna emergency kazn ili tu asije.

Naunga mkono mtoa maada. Mwanamke ukikosa hisia nae hata mbususu yake unaiona ya ajabu. Kuna sku nlikua namtomber huyu dem zkapita dakika 40 wala hakuna dalili za kukojoa afu kakauka knoma ikabidi nianze kuvuta hisia kwa demu nlomuona kariakoo mchana, hapo ndo nkamwaga.

NSHAMWAMBIA KABSA SINA MPANGO WA KUKUOA MANA ANA MIAKA 27 AFU NAONA KANIGANDA KAMA KUPE.
 
Sio nashindwa kumtunza, sasa hata anunue nguo gani akivaa hamna kitu, unamtunza vipi mtu wa hivi?

[emoji38][emoji38][emoji28]

Ukute umerogwa na Mchepuko umewafarakanisha na mkeo jomoni [emoji14]

Sasa si umwambie aanze kufanya diet?

Halafu ukute ni mke tegemezi ikiwa hivyo atakuchosha mara mbili!
 
Nawashangaa wanaombishia mtoa maada. Asee mwanamke asiyekuvutia n vgumu sana kuishi naye. Nina dem flan hv tuna mahusiano miaka kadhaa, hajawahi omba hata mia, kuja kwangi anatumia nauli yake, ananiletea na mazawadi, ananipa mbususu mda wwte nkitaka.

Ila sjawahi kumtamkia neno "nakupenda" kwa sababu staki kusema uongo. Anaweza npigia smu akanambia amenimiss lakn sjawahi kumjibi kwamba nimemmiss.

Saiz nko mkoani kikaz, mwez huu kapewa likizo kazn kwake anataka kuja lakn nmemdanganya kwamba nimesafiri kuna emergency kazn ili tu asije.

Naunga mkono mtoa maada. Mwanamke ukikosa hisia nae hata mbususu yake unaiona ya ajabu. Kuna sku nlikua namtomber huyu dem zkapita dakika 40 wala hakuna dalili za kukojoa afu kakauka knoma ikabidi nianze kuvuta hisia kwa demu nlomuona kariakoo mchana, hapo ndo nkamwaga.

NSHAMWAMBIA KABSA SINA MPANGO WA KUKUOA MANA ANA MIAKA 27 AFU NAONA KANIGANDA KAMA KUPE.
Wew upo sahihi huyu alimuoaa kabisaa alafu leo anaanza kujiongeleshaa hapaaa...!! Kiukweli mwanamke ni mzuri kabla hujamlala ilaa ikishamlala na bado ukaendelea kumuona ni mzuri mpaka ukafikia stage ya kumuoaa bhasi ukija kumuacha kwa kigezo cha ubaya unazingua sana.
 
We jamaa nimekuelewa sana, mie nimewahi kupitia kipi ndi kigumu sana kwenye ndoa yangu ya Awali. Nilikurupukaga kwenda kuoa bila kujipa muda wa Uchumba na kufahamiana vyema, niseme tu kuwa yule mwanamke sikua nimempenda ila nilikuwa nimemtamani kwani kumpenda kule hakukua kwa muda mrefu, ndipo nilipoona maumivu na majuto kwanini niliamua kumuoa kama sikua simpendi. Ila kwa sababu ya Dini, niliandika Taraka tatu mbele ya kikao vha ndugu. Ila nilimueleza ukweli wa Moyo nikiogopa kuendelea kumtesa kihisia nikaona afadhali nimwambie ukweli. Nilijitahidi kutokuonyesha ila sikua tu na hisia naye kabisa.
Na hili limenitafuna sana kwenye akili yangu kwani nimekua najihisi mwenye makosa sana kwa kumuumiza mtoto wa watu. Ila sasa hivi namshukuru Allah, amepata Bwana mwingine na wameshaoana na wana mtoto. Ila sitarudia ujinga wa kuoa bila kukaa kwenye mahusiano. Sijajua mtoa uzi ameandika huu uzi kufurahisha jamvi yaani Chai au anamaanisha. Polee kwa Bidada ila amemsaidia sana huyo mdada, ataumia lakini atapona na kurudi kwenye ubora wake.
Duh!...
 
Keshasema ni kibanzi aka kimbaumbau

Wakati wa hivyo ndio super sasa !

Ampige supu na Malost ya samaki na nyama aone kama hatafutuka.

Mleta mada wewe radha yako ni Bantu group?

Hutaki slim fit ?

Ungejua werevu wanalipa hela chungu nzima ili wawe wembamba usingaliandika hayo.

Eti shape hana,

Umri wako tafadhali.
 
Hajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano.

Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure.

Hope atapata anaemkubali
Hii ni dalili moja wapo ya mental health issue.. tafuta psychologist haraka sana..
 
Nahisi ulianza uhusiano naye ukiwa huna pesa now umepata you can afford wale unaowataka.
Hii inatokea kwa wanaume wengi, wanaowataka hawawafford so wanaoa wale wanaowafford halafu maisha yakichange anaanza chepuka na anaowafford
Kwelo asee, ukiwa huna hela piskali hazkutaki unaenda kuoa mwanamke sura ya maandamano, akicheka kama analia.

Sku ukipata hela, piskali znajileta unaanza kujiuliza hv huyu mwanamke kwa nn nilimuoa hasa????
 
Back
Top Bottom