kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Mnakimbilia kuoa ili kufurahisha watu ndio matokeo yake haya sasa,mnaleta sifa kwenye ndoa hamfikiriiHajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano.
Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure.
Hope atapata anaemkubali
wewe pambana na mke wako unataka nani amuoe tena mke wa mtu.
Ushamtumia unataka kumuachia nani mzigo wako,huyo ni wako mpk kufa🤣
Poleeeeee,utanyooka tu utake usitake