Nami naunga mkono hoja, kamuharibu mwenyewe halafu anataka nani akampokee, MxieeuuHuyo mwanamke akuviziee akumwagie maji ya motoo usoo uchakaee huooo[emoji706][emoji706] Alokwambia mwanamke anakuwa mzudi kadiri unavyoishi nae nani??? Huyo mbaya leo unamuachia nanii...
🤣🤣🤣🤣🤣 Mke wako ashkuru Mungu kukupoteza...huna future kwa mawazo haya.Hajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano.
Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure.
Hope atapata anaemkubali
Mkuu unajua tayari ushakufuru aisee em rudi mwombe bibie msamaha aisee dhambi itakutafuna usipofanya ivyo. PeriodHajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano.
Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure.
Hope atapata anaemkubali
We jamaa nimekuelewa sana, mie nimewahi kupitia kipi ndi kigumu sana kwenye ndoa yangu ya Awali. Nilikurupukaga kwenda kuoa bila kujipa muda wa Uchumba na kufahamiana vyema, niseme tu kuwa yule mwanamke sikua nimempenda ila nilikuwa nimemtamani kwani kumpenda kule hakukua kwa muda mrefu, ndipo nilipoona maumivu na majuto kwanini niliamua kumuoa kama sikua simpendi. Ila kwa sababu ya Dini, niliandika Taraka tatu mbele ya kikao vha ndugu. Ila nilimueleza ukweli wa Moyo nikiogopa kuendelea kumtesa kihisia nikaona afadhali nimwambie ukweli. Nilijitahidi kutokuonyesha ila sikua tu na hisia naye kabisa.Hajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano.
Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure.
Hope atapata anaemkubali
Very true.Mwanamke mzuri ni yule ambaye hujamla tu
Hata awe mkali kiasi gani ukisha-mfunua tu ni wa kawaida sana!
Inahitaji uwe na akili ya familia uvumilivu na ukomavu wa akili kudumu kwenye ndoa!
Kama una hela na bichwa maji usiye na msimamo utaoa na kuacha hadi pale maisha yatakapokupiga ndio akili inakaa!.