Nimeamua niachane na mke wangu sababu muonekano wake haunivutii

Dunia inaenda Kasi sanaaa [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hatareee na nusu hiyo atakuwa hajielewi huyo ha ha ha
 
Kama kila unayekutana naye ana kasoro, subiri uletewe malaika toka juu kwa Baba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…