Nimeamua niachane na mke wangu sababu muonekano wake haunivutii

Nimeamua niachane na mke wangu sababu muonekano wake haunivutii

Hajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano.

Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure.

Hope atapata anaemkubali
Una mapepo.Si bure.
 
Kiasili mwanaume hua anakua na hisia na mwanamke siku 90 za mwanzo kwenye mahusiano hapo ndio mkiwa kitandani hata kuandaana kunakuepo, baada ya siku 90 kitandani lolote ni sawa tu hapo ndio mwanaume huanza kumtoa kasoro mwanamke na kuanza kutafuta mbadala kwa siri kubwa, sasa hapo ndio kinaingia kipengele cha tabia ndio itambeba mwanamke na hekma na busara za mwanaume ndio zitaongoza mahusiano maana wakati huo ile hamu na tamaa ishakwisha kabisa kwani unamjua mwanamke kila kona na yeye ashaanza kukuzoea na hadi kujamba anajamba mbele yako, sasa utaacha wangapi? Wewe tafuta mchepuko huku ukivumilia mwenzako maisha yaendelee

Kwani kujamba haifai mbele ya Mpenzi wako?

Wanasaikolojia wanasema mojawapo ya kigezo cha kuwa uko kwa Mpenzi umpendae Kwa dhati ya moyo ni pamoja na uwezo wa kuweza kusema chochote na kufanya kila kitu [emoji108] (speaking and doing anything and everything).
Heshima ikiwa palepale.

Ukiona uko kwenye penzi na mtu lakini eti ufanye kujifikiria cha kusema na kujiuliza sijui atanichukuliaje au nifanyeje ujue hapo bado hamfafikia patamu.!

Ukiona huna Uhuru wa kukutana kuwa na Mpenzi wako mpaka uoge , upate meckups, perfume, uvae urambie n.k. Ujue bado huyo sie mwenyewe wa asili. [emoji108]
 
Huyo mwanamke akuviziee akumwagie maji ya motoo usoo uchakaee huooo[emoji706][emoji706] Alokwambia mwanamke anakuwa mzuri kadiri unavyoishi nae nani??? Huyo mbaya leo unamuachia nanii...?? Wanaume wote tukisema tuache wanawake zetu kisa wamekuwa wabaya baada ya kufunga nao ndoa na kuishi nao hakuna ndoa ingebaki nakwambia.. alafu mbaya zaidi ukute umemzalisha na watoto yani[emoji35][emoji35][emoji35]
Karma is a bitch ........wait for your turn bro , utaomba siku zije kurudi nyuma uwe na huyo mkeo nakuambia....

Very soon utajionea....asiefunzwa na ***** hufunzwa na wanawake wadangaji wa mjini wanaopambana ku maintain muonekano wao na shepu zao
 
hata wewe anakuvumilia tu,jitafakari kabla ya kufanya ujinga unaotaka kuufanya
utakuta mtu mwenyewe hela huna unijishebedua tu
nimepitia nyuzi zako hata wewe hauvumiliki una matatizo kibao mwanaume kila kitu unalalamika?
 
Huyo mwanamke akuviziee akumwagie maji ya motoo usoo uchakaee huooo[emoji706][emoji706] Alokwambia mwanamke anakuwa mzuri kadiri unavyoishi nae nani??? Huyo mbaya leo unamuachia nanii...?? Wanaume wote tukisema tuache wanawake zetu kisa wamekuwa wabaya baada ya kufunga nao ndoa na kuishi nao hakuna ndoa ingebaki nakwambia.. alafu mbaya zaidi ukute umemzalisha na watoto yani[emoji35][emoji35][emoji35]

Nakupa go ahead
Mle kimasihara huyoo[emoji16]
 
Hajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano.

Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure.

Hope atapata anaemkubali
usijaribu kufanya hivyo Mungu atakuadhibu vibaya
 
Mtoa Mada mie niko upande wako.
Kuna mengi yamejificha nyuma ya pazia

Wanawake wengi wakiolewa wanabweteka, hawawi wasafi kama mwanzo, hawana ubunifu hawapendezi etc.
Pia kuna kurogwa jamani (Mtajuaje kama jamaa alipigwa Limbwata na sahivi dawa ime expire anaona uhalisia?)

Kama huridhiki nae mpige chini au kama dini inaruhusu OA mke wa pili huyo abaki kama mke wa kwanza.

Mie mwenyewe siwez ongozana na Kibungo..

Ah unatakiw ukitoka na mkeo kila mtu anasema Yes...!
 
Huyo mwanamke akuviziee akumwagie maji ya motoo usoo uchakaee huooo[emoji706][emoji706] Alokwambia mwanamke anakuwa mzuri kadiri unavyoishi nae nani??? Huyo mbaya leo unamuachia nanii...?? Wanaume wote tukisema tuache wanawake zetu kisa wamekuwa wabaya baada ya kufunga nao ndoa na kuishi nao hakuna ndoa ingebaki nakwambia.. alafu mbaya zaidi ukute umemzalisha na watoto yani[emoji35][emoji35][emoji35]
Tena haya maamuzi yafanyike haraka iwezekanavyo.
 
Hajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano.

Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure.

Hope atapata anaemkubali
Rubbish.
 
Ana 27 wewe una ngapi Mzee utateseka Sana maisha ya ndoa, ikiwa una zaid ya 30 huelewi unachoongea.

Nina 21 kwenye ndoa naelewa mambo kibao.

Niliingia kwenye ndoa na 26 na Sasa Nina 52 years.

Mbususu zote ni nyama. Utakuja ihitaji kw ajili ya kuvhomeka tu Mzee. Sura hutakuja kuhitaji machoni mwako.

Kikubwa Angalia unataka nini black or white, chocolate or brown product.

Sasa Mzee ukijichanganya utaumia
Whats the logic behind ur question?
 
Bora umekuwa mkweli na kumpa nafasi ya kwenda kupendwa huko na wanaojua thamani yake.
Napitishwa kwenye situation kama ya mkeo so naelewa maumivu, natumai siku moja niweze kusimama na kusema imetosha[emoji26][emoji26], nikatafute furaha yangu kwingine ila sasa sijui naanzia wapi mana ni mimi tu ndo naona action zake ila nje ni perfect couple [emoji26][emoji26][emoji26]
Hicho ndo kinasababisha (ga) yafuatayo:-

1) kuishi mpaka kuzeeka pamoja.

2) mmoja kufa hasa mwanaume ili kuonekana kifo kimetutenganisha ila kimsingi katangulizwa.

3) kukosa maendeleo kwa kuwekeza zaidi nje kwa michepuko ambako matunda yake hata yakiwa ni mazuri huwezi kuyaleta ndani, utakula huko huko nje tu.

All in all, ndoa ni mwiba mchungu sana kwa wanandoa wote, tulichozidiana ni uwezo wa kuhimili tu.

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Hajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano.

Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure.

Hope atapata anaemkubali
Mbaya unamtunza ipasavyo
Hapendezi unamnunulia viwalo ipasavyo au ndo vya buku buku.

Tafuta huyo mwingine baada ya mwezi atakua ametembea na ukoo wako mzima hadi baba ako, baada ya hapo atakupeni gono lisilotibika,
Muda umepelekwa hosi atabeba kila kitu ndani hadi brush la chooni ukitoka hospital kurudi nyumbani kikojoleo kimekatwa, huna uwezo wa kuzalisha.
Kodi imeisha unaenda kuomba Kazi za ndani unakutana na huyo mkeo anatoka ndani ya geti na ndinga kali kabla ujasema kitu anakupa pesa ya kodi na biashara.
Unaenda mtaani unafanikiwa hapo kidg inarudi kumshukuru, Hapo anakutimua kama mbwa Koko kwa sabb huna thamani tena.

Tujifunze kua na shukrani
 
Niliiona na sikuitoa kichwani. Ina cha kuchukua ndani yake mkuu. Ujue kwa upande wangu nipo neutral, nahisi kuna mengi sana kichwani mwa jamaa labda tu anashindwa kuaddress vizuri, wanaume tuna ile ""kaba"

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Sure,hii case iangaliwe pande mbili za shilingi tusimkandamize Sana jamaa dunia Ina mengi
 
Mpk unafunga na ndoa ulishikiwa bunduki?[emoji848]
 
Back
Top Bottom