Nimeamua nithubutu ingawa nina mtaji pungufu ya laki saba. Nawe waweza jaribu mahali unapoishi

Mkuu kwa ushauri pia nenda kwenye masites kama pale moroco upige dili na wale wamama, au site yoyote uliyo karibu nayo, ukiwa na nia utatoboa wenzako laki saba hiyo angewaza iphone, haikatazwi kuwa na iphone lakini unaangalia future, sio umetoka chuo hata hela ya bando huna na kazi mpaka usote, keep it up!
Asante mkuu ubarikiwe sana,ushauli wako ntaufanyia kazi.
 
Hongera mkuu kwa kujipambanua. Niliwai kufanya biashara kama hiyo lakini sio mchele, changamoto kubwa niliyokutana nayo ni mikopo. Mteja anachukua mzigo kwa mkopo lakini kwenye kulipa ndio tatizo. Vp hiyo ya mchele mkuu inachangamoto kama hiyo?
 
Asante mkuu ubarikiwe sana,ushauli wako ntaufanyia kazi.

Kwanza hongera sana, umekitendea haki chuo chako. Hii ndio inaitwa kuelimika, kuelimika na kwenda shule ni vitu viwili tofauti japo vinahusiana.

Hapo kwenye mama ntilie, unaweza ukatafuta daraja la mchele watakao mudu kununua na wakapata faida, hiyo itakusaidia kua na aina mbalimbali za mchele kulingana na soko lako.

Mungu aibariki na kuifanikisha biashara yako.
 
dogo, nakupongeza kwa sababu unawaza mbali, komaa mdogo wangu, inawezekana hiyo ndio ikawa ajira yako kubwa na ukawaajiri watu unaosoma nao, mimi nikiwa first year nilianza kuuza nguo zote za kike chuoni, nikawa napita chumba kwa chumba, huwezi amini now nina maduka mawili makubwa, mi nilipomaliza chuo ckurudi nyumbani kwa sababu tayari chuo kimenikomboa. keep the fire burning
 
Mungu akusimamie
Hivi ndio inatakiwa,sitegemei kukuoa mitaa ya posta ukipita kwa kasi kama vile unaofisi kumbe unasambaza application
letters.
Hiyo ndio akili ya kijana,lazima utafute maisha kwenye hali ya uhalisia.Maisha sio rahisi kabisa kama watu wanavyofikiria.

Kwa kujazia tu hapo,kuwa na wazo la kuanzisha kikampuni hata kidogo,maana mazao ya chakula nasikia hakuna kodi,sasa hutakuwa na presha ya wenye Nchi.
Ikifika mwezi wa tisa kama ujafanikiwa ndoto zako kwa kasi unayoitaka niambie Chuo gani upo nitakuongezea mtaji wa laki tano na utanirejeshea Bila riba na wala sinto hitaji dhamana,maana najua huwezi kukimbia Wizara ya Elim.Napenda sana vijana wenzangu wenye akili kamahii.

Kumbuka kama biashara imeanza kwa less changamoto basi uwe tayari kupambana na changamoto kubwa,maana mie huwa naogopa sana biashara yenye faida nzuri mwanzo,manaa changamoto ikitokea unaona kama mungu anakuonea au umerogwa,ila ukiwa mzoefu unajua namna ya kucheza nazo hizo changamoto.
Muhim ni maombi,nakushauri sana kwa imani ya dini yako,basi endeleza sana maombi,maana mungu ndio kila kitu.Na hali ikiwa nzuri basi ongeza zaidi maombi na hali ikiwa mbaya endeleza Maombi na usibwete mpaka hali iwe mbaya ndio uanze maombi.

Maombi mengi yanaambatana na shetani,maana unawezakukuta kila ukiongeza maombi ndio mambo yanakuwa mabayaaa,aisee mungu anasiri kubwa sana,ila jua kwamba Mungu anakupima imani na mbele atafungulia mpaka shetani ataogopa kukufuata
Mungu asifiwe,na akupe nguvu ya unachokiamini na kukitenda na umkumbuke kwa kumtolea Sadaka,ila sadaka ninayoaminia mie ni ile ya kumpa mhusika moja kwa moja na sio kwenye Nyumba za Ibada ambapo siku hizi zimeharibika.

Kwa kuwa biashara yako ni ya Mchele chakula kilichobarikiwa,basi angalua kwa kila mwezi toa kilo moja umpe maskini mtaani kwenu,na kama hayupo basi uliza hata mwanachuo hapo atakuwa anajua mitaa yao,hali ni nguma huwezi kukosa watu wenye hali nguma kimaisha.(Ni ushauri tu kwamba toa kwa ajili ya Mungu)
 
Mkuu nimekusoma na nimekuelewa vizuri sana.Asante sana mkuu kwa mawazo yako na namshukuru Mungu sana sababu leo ndio nimeanza kuuza mchele na nimefanikiwa kuuza Kg 84.Ngoja tukazane na huyu jamaa yangu nimeo mleta hapa mjini.
 
dogo, nakupongeza kwa sababu unawaza mbali, komaa mdogo wangu, inawezekana hiyo ndio ikawa ajira yako kubwa na ukawaajiri watu unaosoma nao, mimi nikiwa first year nilianza kuuza nguo zote za kike chuoni, nikawa napita chumba kwa chumba, huwezi amini now nina maduka mawili makubwa, mi nilipomaliza chuo ckurudi nyumbani kwa sababu tayari chuo kimenikomboa. keep the fire burning
Asante sana mkuu ngoja nikomae na namuomba Mungu aniongoze.
 
Kwanza hongera sana, umekitendea haki chuo chako. Hii ndio inaitwa kuelimika, kuelimika na kwenda shule ni vitu viwili tofauti japo vinahusiana.

Hapo kwenye mama ntilie, unaweza ukatafuta daraja la mchele watakao mudu kununua na wakapata faida, hiyo itakusaidia kua na aina mbalimbali za mchele kulingana na soko lako.

Mungu aibariki na kuifanikisha biashara yako.
Mkuu asante sana na mawazo naahidi kuyafanyia kazi.
 
Back
Top Bottom