kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 2,921
- 7,173
You touch my heart brother, nimepitia ugumu kama wako japo mimi nilijikita kwenye ufugaji ila kwa sasa namshukuru mungu naona faida nzuri, na michango mingi niliipata kupitia JF jukwaa la uvuvi na ufugaji, kuna watu hawana roho za kwanini kumsaidia mtu.Thank you brother,ubarikiwe sana kwa mchango wako huu murua mkuu.
Hongera sana...Mungu aendelee kukubariki....Vipi kwa sasa biashara ya mchele imefikia wapiMwaka sasa umeisha namshukuru Mwenyezimungu hali si mbaya ingawa kuna changamoto za hapa na pale,lakini nimeweza fungua banda lingine.
Biashara inaenda vizuri kabisa watu wanaohitaji niwe nawaletea niwengi sana,na pia kwa sasa huwa naleta na mahindi pia.Hongera sana...Mungu aendelee kukubariki....Vipi kwa sasa biashara ya mchele imefikia wapi
Great...keep going strong no matter the obstaclesBiashara inaenda vizuri kabisa watu wanaohitaji niwe nawaletea niwengi sana,na pia kwa sasa huwa naleta na mahindi pia.
Yea ngoja niendelee kupabana maana mafanikio nayaona.Great...keep going strong no matter the obstacles
Bro nimekutumia dm plz nijibYea ngoja niendelee kupabana maana mafanikio nayaona.
Haya mawazo ninayo but lakini siwezi yafanyia kazi kwa sasa.Nunua vitu online kwa bei ndogo pokea posta pale then uza mara mbili yake hadi tatu. Easy tu but kuwa makini.
Yea hiyo pia ni nzuri.Safi mkuu namimi nilinunua mpunga nikaweka stoo walaki tano mwaka 2016 mwezi wa sita nikaja kuuza mwezi wa tatu nikapata million.so hata ya kuweka mpunga stoo baada ya mda unakoboa unauza mchele inalipa sana
Sawa mkuu ushauri wako ntaufanyia kazi.Barikiwa sana mkuu, jitahidi urasimishe biashara yako ili iwe rahisi kujiendesha yenyewe hata kama haupo karibu au umebanana na kazi zingine, kumbuka ukiwa na kakampuni ka usambazaji katakusaidia kuvutia wateja wakubwa zaidi kama hoteli n.k