Mshikemshike
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 421
- 210
Ongera ni wako zuri sana umenigusa sana.
-
-
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa mkuu bado naendelea na mambo sio mabaya namshukuru Mungu.Saf xn mkuu,all za best,ntakucheck kwa no zako tutete machache
Thank you.Kazi nzuri kijana
Asante mkuu.Sina neno zuri zaidi ya kukupongeza, big up
Poa mkuu.safi sana mkuu..mtaji ukikua jaribu kuboresha biashara yako weka na unga wa sembe..vitunguu..karoti nk..trust me soon hautakua hapo mkuu
Hongera sana kwa kukomaa.. jee baada ya msimu wa mchele kuisha utabadilisha biashara au?Namshukuru Mungu kuendelea kunipa nguvu na afya.Naendelea kupumbana ingawa kuna changamoto za hapa na pale.Lakini ndio hivo yanipasa nipambane ili nijikwamue hapa nilipo.
Baada yawanafunzi wenzagu kuona nafanya hii mishe kuna baadhi yao nao wameamua kufanya(kuiga kila kitu),lakini sio jambo mbaya,hii itasaidia wateja kupata mchele mzuri.Na pia ubunifu zaidi ndio unahitajika ili niweze kustahimili.Kutoka kg 400 mpaka sasa nauwezo wakuagiza kg 1500.Hii pesa inayopatikana hapa sijawahi kula at a shilingi mpaka sasa.Faida yote inayopatikana hungeuka na kuwa sehemu ya mtaji.
Pia namshukuru Mungu sijawahi dhulumiwa tofauti na pale nilipoagiziwa vipande vya Michele(chenga).Endeleeni kunipa mawazo wakuu,nifanye nini ili kuweza kuwafikia wateja wengi zaidi.
Asante sana kwa mawazo yenu,nayafanyia kazi wakuu.
Tatizo kubwa kwa sisi wanavyuo hatuwazi nje ya box,kila mtu akipata vilaki kadhaa(mwanachuo) anakimbilia kufungua banda la chipsi.OK fine malengo yako baada ya hilo banda?.
OK Mimi ni mwanachuo wa mwaka wa pili,nimeamua kuja na ubunifu tofauti wa biashara yangu.Nimendunduliza nikafikisha laki sita na nusu na ninadream zakuja kuwa bakharesa hapo baadae.Unajua nimefanya nini?.
Nimetafuta vijana waaminifu wawili niliosoma nao wakafeli school.Mmoja yupo huko hom(mkoani) mwingine nimemtumia nauli elfu 50 aje dsm nikae nae geto(kashafika).
Nimechofanya yule wa mkoani(ninamuamini sana) nilimtumia laki nne na nusu,akanunua mchele kg 400.kilo kwa sasa mchele mpya ni 1000Tzsh.Kwahiyo apo ilienda sh laki nne.akabakiwa na sh elfu arobain,nmejumlisha na hela yakutoa mchele mashineni na magunia yakuuwekea.
Baada ya hapo akaenda tafuta usafili ambao kila kg 100,wamemtoza sh elfu 10000.kwahiyo kg 400 akawa kamaliza ela mpaka mzigo kufika dar.
Sasa unajua nmeamua kuifanya vipi hii biashara.Mimi nauza kuanzia Kg5. Kwa shilling 1800 kila kilo.Nmechukua oda ya mama ntilie wanao uza chakula chuo nacho somea,pia na baadhi ya mama ntilie wamtaani.
Pia nawauzia wanafunzi wanao jipikia kwenye magheto.Jambo la msingi nimelofanya nikuwa mtu akihitaji mchele ananipigia simu.nampelekea mchee mpaka mahali anapokaa.
Kama itakuwa mbali sana ambapo ntahitaji usafiri basi itabidi kg1 mteja ainunue kwa sh 1900.
Mchele naouza quality yake kwenye maduka ya mitaani ni sh 2200.
Sasa nmeanza na hizi kg 400,ambazo nikiziuza kwa kg1, sh 1800. Ntatoa sh 720000.Na hii nategemea ndani ya siku 10,mpaka 12 ntakuwa nmeshaipata.kwahiyo awamu ijayo ntatuma kg zaidi ya 580 km bei haitopanda
Tumekubaliana nahawa jamaa zangu wawili tutaanza kulipana japo ela ya sabuni baada ya miezi minne.Nahuku nikiwa nimesubili ela ya bum nitoe kama laki tatu niongezee ili mtaji ukue baada ya mauzo.
Pia nmekopwa mzani ntakuwa nalipa kidogo kidogo kadri mauzo yangu yatakavyokuwa.
Chakula ambacho nakula mie na huyu jamaa yangu kipo nje ya bajeti ya mtaji.
Nawewe mwanafunzi mahali ulipo/mtu mwenye mtaji mdogo waweza jaribu hii nahakika itakulipa.
Au kama mtu yeyote mwenye ushauli zaidi namna ntakavyoboresha zaidi anaweza nisaidia(tusaidia).
Sitaki kazi.
.................
................
Update
...........
Nashukuru sana kwa member wanavyonipa saport,wapo wengine wanahitaji namba yangu ili waweze kuniunga mdogo wao japo kilo kadhaa napatikana kwa namba hii 0753980107 au 0679569625.
Popote pale ndani ya dar ntakufikishia mchele utakao uhitaji.Kama ukipiga nisipopokea naweza kuwa nipo darasani piga namba hii 0718696135 kwa jamaa nae saidiana nae haka kabiashara.
Nitoe pia shukrani kwa member mmoja ingawa sifahamu anatumia jina gani humu JF lakini kaniunga Kg180.
Asanteni sana wadau.
Mkuu mchele huwa hauishi msimu Ila kunakupanda na kushuka kwa bei.Kipindi mchele unapouzwa kg 1 sh 2500 hapa dar basi mikoani kilo moja ikipanda sana huwa ni sh 1700.Kwahiyo faida itaendelea kupatikana ingawa nitapata faida ndogo kwa sababu mtaji wangu unakuwa mdogo.Kwahiyo ntaendelea na hii biashara sema kuna deadline nimepanga itakapofikia ntaongeza biashara nyingine.Hongera sana kwa kukomaa.. jee baada ya msimu wa mchele kuisha utabadilisha biashara au?
Safi sana kijana. Ni biashara nzur
hii ni kiboko big up sana kaka
Safi sana Kijana..
Asanteni sana wakuu.Safi sana kijana. Ni biashara nzur