Nimeamua niwe muaminifu kwa mke wangu

Nimeamua niwe muaminifu kwa mke wangu

Ndenji five

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2021
Posts
1,985
Reaction score
3,109
Habari wakuu natumaini hamjambo

Wakuu kama title inavyojieleza nimeamua tu niwe muaminifu kwa mke wangu ili azidi kuniamini kama mume wake yafuatayo ndio niliyo yafanya ili kuongeza uaminifu

1: Kuna rafiki yangu alikuja kuniambia kamuona wife sehem yupo na jamaa wanakula bata kama siamini eti niende nae nikajirizishe,kiufupi sikujali maana nikaona kama ugombanishi,alivyorudi jion nikaamua kumsimulia jinsi jamaa alivyoongea akaniuliza kakwambia nani,nikamtaja sio siri wife akamfuata huko huko akaenda kumsuta,siku ya pili nimekutana na jamaa kanilia buyu,nikasema sijali kila mmoja na maisha yake..

2: Leo nilipata mchepuko,bahati mbaya nilichelewa kurudi home nilivyorudi nikamuambia wife yote, mpaka bei ya logde nilioenda kulia mbususu, huyo mchepuko,na kumsifia juu anajua kukatia......... inaendelea

NB: Wakuu kwa nini tufiche mambo bora tuonyeshe tu uaminifu kwa watu wetu, leo utaficha ila maandiko yamesema siku ya mwisho Mungu ataweka bonge msiklinitv alafu ata replay mambo yako yote hadharani, sasa sijui itakuwa umeficha nini? Bora tuwekane wazi, ikifika siku ya mwisho mnamwambia tyu Mungu haina haja sisi tayari tumeshahukumiana duniani tunaomba tuingie tu moja kwa moja mbinguni tukapumzike
 
Vipi na wife kaamua kuwa mwaminifu kwako au ndio tunaendana na ule msemo pendwa "kuchapiwa ni siri ya ndani?"
Hapo sasa kusimulia ni ngumu tungojee mrejesho maana ndio namuelejeza hapa
 
Huo sio uaminifu mkuu....

Uaminifu ni ungemwambia wife sababu ya kuchepuka...

Halafu huyo jamaa aliyekustua ukamuona boya,,, utakuja kumuona wa maana siku moja heheheh
 
Sijaelewa uaminifu unatokea wapi hapo?
 
Kwenye namba moja umeniangusha Sana,
Suala la kumtaja msiri wako Ni kishamba mno[emoji4]

Kulikua na namna Zaid ya kulisolve badala ya kumtaja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwanini? Sasa mkiambiwa vitu kuhusu wanawake zenu mnaenda kutaja mpaka majina kwa wanawake zenu [emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni yule rafiki yangu kabsa hata ikitokea kidem kimempenda huko mtaani kikamuomba namba anaenda kumwambia mwanamke wake.. [emoji23][emoji23] sijui wanakuwa wanawapaga nini? Daah
 
Ni mapenzi tu, mkuu
 
Kwenye namba moja umeniangusha Sana,
Suala la kumtaja msiri wako Ni kishamba mno[emoji4]

Kulikua na namna Zaid ya kulisolve badala ya kumtaja.
Mkuu mimi huwa napenda kirahisisha kumficha adui siwezi
 
Back
Top Bottom