INSPIRED BY THIS PHOTO
View attachment 3125042
Nikiangalia huyo kijana ( IBWE ) ni Kama Mimi tuu kuanzia muonekano, body,utanashati, umri na kila kitu hatujapishana Sana labda kazi TU
Binafsi nimechoka kuwa na mahusiano na hivi videmu vya 2000 usumbufu mtupu!! na kupotezeana muda TU.
Binafsi bila kusurutishwa na mtu kuanzia Leo nimeamua kuanza kuwinda mishangazi TU. Nikikosa aliye single naiba wa mtu (potelea mbali KWAN'NINI )
Kuanzia Sasa ni Mimi na mishangazi, mishangazi na Mimi Tena wawe Kama huyo wenye minyama minyama aloooh nitake Nini Tena!!
Hii picha imeni inspire Sana, na sio Mimi TU najua pia imewa inspire vijana wengi unaweza kukataa hadharani ila moyoni una admit unabisha??....Acha kujidanganya mwili unakutaa roho inakubali au sio