Nimeandaa safari ya kupanda mlima Kilimanjaro kwa ajili ya wanaJF tu ambao wanavutiwa kufika kilele cha mlima

Asante kwa wazo zuri, nashauri ili kuhakisha kwamba ni mwana JF kweli, msimamizi aweke utaratibu kuhakiki member ukifika unataja jina:
Mfano: jina unataja mzabzab
Linaandikwa halafu unaambiwa weka nywila!
Jf ikifunguka, unapewa kibali.
Watakaotàka kujitambulisha watafanya kwa hiari yao.
Mimi nitapenda kutambuana na mzabzab
🤣🤣🤣 Huo ukorofi wa wazi mkuu
 
mzabzab 🤒
 
Back
Top Bottom