Nimeandikiwa rufaa Muhimbili hospitali ya mtoto wa miaka miwili na nusu

Crystal field theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
940
Reaction score
401
Wakuu habari..

Mtoto wangu alikuwa na changamoto ya kuchelewa kulia tangu alipozaliwa 2022 July, baada ya hapo akawa anapata degedege tukawa tumepeleka kwenye vipimo hospital ya Benjamin Dodoma kufanya vipimo vya EEG TEST pamoja na CT scan.

Majibu ya CT scan hayakuonesha chochote ila EEG test yalionesha degedege bado ipo na tukaandikiwa dawa aina ya sodium valproate.

Ameendelea kutumia hio dawa lakini hali ya kushtuka bado ipo japo hapotezi fahamu kama hapo awali, hivyo basi tumeandikiwa rufaa hapo muhimbili kuonana na daktari bingwa wa mfumo wa fahamu kwa watoto.

Maendeleo yake mpaka Sasa mtoto hajaanza kutambaa, kusimamia, Wala kutembea.
Ombi langu kwenu.. DAKTARI GANI wa kumuona pale muhimbili ili amuone mtoto na uchunguzi zaidi?

Mbarikiwe😭😭😭
 
pole sana mkuu
una safari ndefu sana kwa tatizo ilo ni vile hawakuambii ukweli sehemu ya ubongo imeshapoteza uwezo wa kufanya kazi kwa kukosa hewa wakati anazaliwa
kama hana degedege mtafutie mtu wa kumfundisha developmental milestone (physio) kwa sasa

miaka ijayo naona kampuni ya neuralink ya bwana elon musk inafanya vizuri tunaweza pata matibabu uko mbeleni
 
Cerebral Palsy (CP) hiyo mkuu, hatar sana hiyo kitu nawaombea muwe na subra ktka kumlea huyo kiumbe cha Mungu.

Kama mmepewa rufaa sidhani kama Kuna haja ya kuanza kutafuta Dr mwingine Ili Hali yupo kwenye matibabu hospitalini hapo
 
pole sana mkuu
una safari ndefu sana kwa tatizo ilo ni vile hawakuambii ukweli sehemu ya ubongo imeshapoteza uwezo wa kufanya kazi kwa kukosa hewa wakati anazaliwa
kama hana degedege mtafutie mtu wa kumfundisha developmental milestone (physio) kwa sasa

miaka ijayo naona kampuni ya neuralink ya bwana elon musk inafanya vizuri tunaweza pata matibabu uko mbeleni
Anastuka stuka bado.. mazoezi tunahudhuria clinic Kila wiki
 
Wakuu habari..

Mtoto wangu alikuwa na changamoto ya kuchelewa kulia tangu alipozaliwa 2022 July, baada ya hapo akawa anapata degedege tukawa tumepeleka kwenye vipimo hospital ya Benjamin Dodoma kufanya vipimo vya EEG TEST pamoja na CT scan.

Majibu ya CT scan hayakuonesha chochote ila EEG test yalionesha degedege bado ipo na tukaandikiwa dawa aina ya sodium valproate.

Ameendelea kutumia hio dawa lakini hali ya kushtuka bado ipo japo hapotezi fahamu kama hapo awali, hivyo basi tumeandikiwa rufaa hapo muhimbili kuonana na daktari bingwa wa mfumo wa fahamu kwa watoto.

Maendeleo yake mpaka Sasa mtoto hajaanza kutambaa, kusimamia, Wala kutembea.
Ombi langu kwenu.. DAKTARI GANI wa kumuona pale muhimbili ili amuone mtoto na uchunguzi zaidi?

Mbarikiwe😭😭😭

Muhimbili wa Najua, Amini katika mfumo! Mungu akufanyie wepesi, ni safari ndefu na inaweza ngumu!
 
Wakuu habari..

Mtoto wangu alikuwa na changamoto ya kuchelewa kulia tangu alipozaliwa 2022 July, baada ya hapo akawa anapata degedege tukawa tumepeleka kwenye vipimo hospital ya Benjamin Dodoma kufanya vipimo vya EEG TEST pamoja na CT scan.

Majibu ya CT scan hayakuonesha chochote ila EEG test yalionesha degedege bado ipo na tukaandikiwa dawa aina ya sodium valproate.

Ameendelea kutumia hio dawa lakini hali ya kushtuka bado ipo japo hapotezi fahamu kama hapo awali, hivyo basi tumeandikiwa rufaa hapo muhimbili kuonana na daktari bingwa wa mfumo wa fahamu kwa watoto.

Maendeleo yake mpaka Sasa mtoto hajaanza kutambaa, kusimamia, Wala kutembea.
Ombi langu kwenu.. DAKTARI GANI wa kumuona pale muhimbili ili amuone mtoto na uchunguzi zaidi?

Mbarikiwe😭😭😭
Pole Sana kwa changamoto iliyompata mwanao,.

Kwa kuwa umeshaandikiwa rufaa ya kuelekea Muhimbili kwa ajili ya msaada zaidi basi ondoa mashaka kwani ukishafika na wakakupokea wao ndio watakuunganisha na daktari atakayemsaidia mwanao.

Nakutakia kila la kheri, Mwenyenzi Mungu akufanyie wepesi kwa kila hatua.
 
Asante sana mkuu.. Ameen
 
Back
Top Bottom