Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 940
- 401
Wakuu habari..
Mtoto wangu alikuwa na changamoto ya kuchelewa kulia tangu alipozaliwa 2022 July, baada ya hapo akawa anapata degedege tukawa tumepeleka kwenye vipimo hospital ya Benjamin Dodoma kufanya vipimo vya EEG TEST pamoja na CT scan.
Majibu ya CT scan hayakuonesha chochote ila EEG test yalionesha degedege bado ipo na tukaandikiwa dawa aina ya sodium valproate.
Ameendelea kutumia hio dawa lakini hali ya kushtuka bado ipo japo hapotezi fahamu kama hapo awali, hivyo basi tumeandikiwa rufaa hapo muhimbili kuonana na daktari bingwa wa mfumo wa fahamu kwa watoto.
Maendeleo yake mpaka Sasa mtoto hajaanza kutambaa, kusimamia, Wala kutembea.
Ombi langu kwenu.. DAKTARI GANI wa kumuona pale muhimbili ili amuone mtoto na uchunguzi zaidi?
Mbarikiwe😭😭😭