Nimeandikiwa rufaa Muhimbili hospitali ya mtoto wa miaka miwili na nusu

Mkuu,kwanza polee,cha kwanza inabidi ukubaliane na iyoo hali,
Pili pale Muhimbili yupo Dr mzuri anaitwa Dr Kija wa maswala ayoo.
Wahi mapema ili mtoto aanze rehabilitation as soon as possible.
Naongea from experince..
 
Navyojua pale Muhimbili option ya kuchagua daktari wanaipata wagonjwa wa bima na wagonjwa wa Private ila ukienda kama mgonjwa wa public utapangiwa kliniki na utakuwa ukionana na daktari yeyote atakayekuwepo tarehe yako ya kliniki.
 
Bima anayo, NHIF Mkuu
 
Pole sana.

Kwa sababu mna barua ya rufaa mfike tu na mtaelekezwa kwa daktari anayehusika na tatizo la mwanao.

Kila la kheri.
 
Pole mkuu.Ukifika Muhimbili utapokelewa na kupangiwa daktari bongwa wa kumtibu mtoto.
ANGALIZO KWAKO.
Ukisha pokelewa mtoto atalazwa. Tafadhali usifanye haraka kuomba kutoka wodini na kwenda kuishi kwa jamaa au ndugu .
Vumilia baki hospitali hadi mtoto atakapo patiwa matibabu na kuruhusiwa kurudi Dodoma.
 
Nikiwaza mtoto wa dada yangu ana 6½yrs hawezi hata kuongea napata uchungu sana.
Pole sana mkuu.
Nina imani madaktari bingwa watakusaidia na atapona.
 
Nikiwaza mtoto wa dada yangu ana 6½yrs hawezi hata kuongea napata uchungu sana.
Pole sana mkuu.
Nina imani madaktari bingwa watakusaidia na atapona.
Mnaletaga uswahili mwingi wakati wa kujifungua.... Matokeo yake ndiyo hayo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…