Nimeangalia filamu ya Royal Tour. I was not impressed. Itawakera sana baadhi yenu

Nimeangalia filamu ya Royal Tour. I was not impressed. Itawakera sana baadhi yenu

Maeneo mapya ya utalii kama yapi ambayo ulitegemea kuyaona na hukuyaona? Hiyo filamu inachukua muda gani mwanzo hadi mwisho...? Je, filamu haina zuri hata moja?🙏🙏🙏

..Nilitegemea mbuga zilizoko southern and western tourist circuits zionyeshwe.

..Filamu inachukua saa moja na kama dakika kumi kwa kukadiria.

..Filamu inayo mazuri na pia ina mapungufu.
 
..Nilitegemea mbuga zilizoko southern and western tourist circuits zionyeshwe.

..Filamu inachukua saa moja na kama dakika kumi kwa kukadiria.

..Filamu inayo mazuri na pia ina mapungufu.
Ok. Asante. Basi tuchukue mazuri yaliyomo maana yanafaida kwa nchi. 🙏🙏🙏
 
Kwahiyo hao ndiyo wamekupa thenkyu na kukukwot?
Hebu weka sawa hili kwa uwazi tusikuhukumu kwa ubaguzi kimakosa.

..naona mnalikuza sana hili suala na kutoka nje ya mada.

..Admin wametuwekea hiyo feature, maana yake wanachama wa JF tuitumie.

..Again, ninapom-CC mwanaJF yeyote nia yangu ni kuboresha thread niliyoanzisha kwa faida ya wanaJF.
 
Unafikiri akirudi ndo watoto wako watapata nafuu ya maisha, ikiwa we mwenyew mama yao ambae unajukumu la kuwatafutia watoto wako ugali, unashinda humu kuandika ushuzi ili tu upate Likes kutoka kwa wachangiaji hayawani. Wakati wewe unashinda hapa kuandika ushuzi ili uvune Likes za chawa wenzako, kuna wengine wanatumia muda huo kutengeneza pesa kwa ajili ya kesho yao na vizazi vyao bila kujali uwepo wa raisi.
Mbona jamaa kajenga hoja yake poa tu ila umemjibu kitoto hivo ? Usimdharau mtu humu,nimetoka Uzi Fulani Kuna jamaa tunaye humu alinunua nyumba Dar Mwaka 2005 kwa Tsh 50milions na anachat humu,huyo naye wewe ukikutana naye uta assume Hana pesa
Kuna member nafahamiana nae humu ukioneshwa mjengo wake,uje uone I'd yake humu huwezi amini so heshimu ids hizi bwana mdogo,umemkosea sana huyo jamaa
 
Haya mkuu mobutu seseseko.
 
Back
Top Bottom