Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Uzuri ulishalisoma hilo somo.Somo la physics, somo la physics.
Je Tz hatuna waalimu wabobezi kwenye hili somo amaa ni somo gumu sana...
Tatizo sio waalimu, ni Msingi mimbovu uko o-level watu wana fauli physics chemistry uko olevel bila kua na maabara shuleni, wakifika advance ngoma nzito kweli kweli, lasima wachemshe tu.Somo la physics, somo la physics.
Je Tz hatuna waalimu wabobezi kwenye hili somo amaa ni somo gumu sana...
Pale Tabora boys nimeona matokeo yao kuna vijana zaidi ya 50 PCB wana 1 ya 3, hao wana someshwa na waalimu gani? Some time metokeo ya Necta yako selective na un predictable msishangae tena mwakani somo la biology kua gumu kuliko physics au Math.Physics ni kisanga hasa A-level,watu wengi wanaikimbia,hivyo kunakua na uhaba wa watu wanaosomea ualimu wa somo husika na hivyo kupelekea walimu kua wachache,at the end of the day,wanafunzi wanaobahatika kulifaulu hilo somo kwenda A-level,wanakumbana na ukosefu wa walimu competent,hence kupelekea Matokeo mabovu.
Viko sawa sema yanakuja indirect ukisoma kwa kuelewa hata ugeuziwe mgongo unageuza usoni kwanza.Physics hatari, unachosoma na unachokutana nacho kwenye mtihani ni kitu tofauti kabisa
Kwakua phyisics is a science and not constant/things in static state, science inabadilika as time goes onPhysics hatari, unachosoma na unachokutana nacho kwenye mtihani ni kitu tofauti kabisa
Haijawahi tokea pcb anafaulu kumzidi pcm watakuwa wamekosea ku register resultsPale Tabora boys nimeona matokeo yao kuna vijana zaidi ya 50 PCB wana 1 ya 3, hao wana someshwa na waalimu gani? Some time metokeo ya Necta yako selective na un predictable msishangae tena mwakani somo la biology kua gumu kuliko physics au Math.
Mwaka huu imetokea hiyo rekodiHaijawahi tokea pcb anafaulu kumzidi pcm watakuwa wamekosea ku register results
Sisi ni wauza nazi baba hatujui hata hiyo physics inafananaje ngoja waje waelevu watakwambiaSomo la physics, somo la physics.
Je Tz hatuna waalimu wabobezi kwenye hili somo amaa ni somo gumu sana.
Kunaweza kukawa factor nyingine zaidi zinazochangia, lakini walimu nao wakutoa muongozo,ni muhimu,kama ni wachache, lazima impact yake ionekane some years to some students.Pale Tabora boys nimeona matokeo yao kuna vijana zaidi ya 50 PCB wana 1 ya 3, hao wana someshwa na waalimu gani? Some time metokeo ya Necta yako selective na un predictable msishangae tena mwakani somo la biology kua gumu kuliko physics au Math.
Kwani nimesema wamezidi PCM pale kuna wanafunzi zaidi ya 260, wote wamefauli wakiwemo wa pcb 50 wa 1 ya 3. Jambo ambalo ni zuri sanaaHaijawahi tokea pcb anafaulu kumzidi pcm watakuwa wamekosea ku register results
Physics ni ngumu ila ufaulu kama huo japo hiyo ni shule tunayoiamini kuwa ni shule bora, lazima kutakuwa na walakini. Physics imerahisishwa sana siku hizi. Sijui ubora wake bado ni ule ule.Pale Tabora boys nimeona matokeo yao kuna vijana zaidi ya 50 PCB wana 1 ya 3, hao wana someshwa na waalimu gani? Some time metokeo ya Necta yako selective na un predictable msishangae tena mwakani somo la biology kua gumu kuliko physics au Math.
Unajuaje mwaka huo labda mlikuwa vilaza wote labda huyo wa c.Physics ni ngumu ila ufaulu kama huo japo hiyo ni shule tunayoiamini kuwa ni shule bora, lazima kutakuwa na walakini. Physics imerahisishwa sana siku hizi. Sijui ubora wake bado ni ule ule.
Mwaka 2013, kulikuwa na C pekee ambayo ilikuwa marks kubwa kitaifa. Hiyo ndio ilikuwa Physics kwenye uhalisia wake.