cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii mifano alikuwa nayo mwalimu wangu Kulwa, nikaikuta kwa mzee Mamuya 😂😂😂 ila kimsingi swala la kuchomoka na D-Lock lilikuwa mtambuka.km ingekua kipindi cha kufaulu hili somo basi ni kipindi hiki, kuna mifano mingi sn ya soma ya physics, mfano wafungaji wengi wa magoli mpira wa miguu wanatumia sana projection which is part of physics, light za barabarani, simu, hata games zao wanazochezea majumbani kuna maths and physics kwa wingi, shida ni kua wanaowazunguka ndio wamejaa ambao sio watu wa science or kujua hilo somo kabisa. they do things without knowing nini wanachofanya.
In short muongozo wa mazingira wanayotumia muda mwingi hawana muongozo wa hilo somo, kingine walimu wa zamani walikua wapo vizuri sana kwenye practicals kuliko theory, wale waliopata GPA kubwa ndio wanaopelekwa ikiwa practicals hawajui, mimi nifikia waalimu toka vyuo km DIT, veta,au hata watu waliopo kwenye field inayoendana na physics wangepelekwa hasa kwenye vipindi vya practicals kwenye shule mbali mbali at least ingesaidia.
Unafanya reference kwenye shule moja... fanya research,halafu unatakiwa ujue,hizo shule za BOYS,in most cases,wanapiga msuli wenyewe,i.e wanakomaa wenyewe,msaada wa waalimu,ni mdogo sana.Pale Tabora boys nimeona matokeo yao kuna vijana zaidi ya 50 PCB wana 1 ya 3, hao wana someshwa na waalimu gani? Some time metokeo ya Necta yako selective na un predictable msishangae tena mwakani somo la biology kua gumu kuliko physics au Math.
Maabara ndiyo inafanya mtihani? Hamkosagi pa kujificha. Vitoto vya siku vichwa maji haviko serious. Physics A-level Paper 1 na 2 hakuna cha maabara, Paper 3 ndiyo mambo ya practicals. Hata hivyo maswali yenyewe ya kawaida na ni maswali machache tu. Watoto hawako makini hawasomi inavyotakiwa wameshajaza mambo mengi kichwani yasiyowahusu.Tatizo sio waalimu, ni Msingi mimbovu uko o-level watu wana fauli physics chemistry uko olevel bila kua na maabara shuleni, wakifika advance ngoma nzito kweli kweli, lasima wachemshe tu.
😂😂😂😂😂😂😂😂Physics hatari, unachosoma na unachokutana nacho kwenye mtihani ni kitu tofauti kabisa
Somo tamu Sana hili. Halijawahi kuniangusha nalipenda sana.Somo la Physics halijawahi kuwa rahisi ila miaka hii kuna utani uliokuwa unafanyika.