Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Nilikuwa naangalia video mbili za Bertin zinazoonesha maeneo ya Arusha hasa City Centre, kwa kweli ni pazuri sana
Kuna very high level ya ustaarabu, ukiangalia unaona kabisa haya ndio mazingira ambayo yanatakiwa kuwepo Tanzania nzima
Paved roads, bustani, miti mingi sana, utulivu na usafi wa hali ya juu. It's giving Kigali vibes
If only every part of Tanzania could be like this
View: https://youtu.be/n_Tspvv4wtk?si=m59RLc6m-GzntCJL
View: https://youtu.be/yZ1iJkI6w0I?si=Mq6YjpBuMBSIZPVm