Nimeangalia video ya huyu Mkenya, WCB wanatakiwa kuitafakari

Nimeangalia video ya huyu Mkenya, WCB wanatakiwa kuitafakari

Naton Jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
7,867
Reaction score
19,250
Mimi sio fanatic wa entertainment kiviile lakini hii video imenigusa, halafu huyu mkenya yupo down to earth kichizi na ndio maana nimemuelewa point yake, WCB should take notes from the guy
 
Binafsi pia nilitegemea kuona list ya wasanii kadhaa toka KE ..especially mtu kama Naiboi ila nahisi usikute budget yao wali demand kitu kikubwa nahisi icho kitu
 
Hahaha kwa mziki gani uliopo Kenya sasa
Sasa kama Kenya kuna mwanamuziki wa kushiriki wasafi wakenya wasingependa kusikiliza nyimbo za TZ wakati cc huku huyo msanii uliomtaja hata hatumfaham , au munaleta siasa kwenye mziki ilimradi tu washiriki wasanii wa EAC
 
Huyo mkenya aache kuwashwawashwa mziki ni biashara unaangalia soko linataka nini sio kuleta watu wa ajabiajabu Ili mradi uridhishe watu .Btw mbona hamna mganda,mrwanda m south au huko hakuna wasanii kama kenya
 
Mimi sio fanatic wa entertainment kiviile lakini hii video imenigusa, halafu huyu mkenya yupo down to earth kichizi na ndio maana nimemuelewa point yake, WCB should take notes from the guy
Management ya wasafi haikufanya poa...wakumbuke kenya pia wana soko kubwa tu, sidhani km hko congo na nigeria ana soko ki vile km kenya..

So management ndio tatizo
 
Management ya wasafi haikufanya poa...wakumbuke kenya pia wana soko kubwa tu, sidhani km hko congo na nigeria ana soko ki vile km kenya..

So management ndio tatizo

Hapa nakuunga mkono kiroho safi. Nina imani watajifunza wakati ujao.
 
Huyo mkenya aache kuwashwawashwa mziki ni biashara unaangalia soko linataka nini sio kuleta watu wa ajabiajabu Ili mradi uridhishe watu .Btw mbona hamna mganda,mrwanda m south au huko hakuna wasanii kama kenya
Sauti soul wangeliitwa hapo, mngelijionea maajabu..wale watu wanajua sana, sidhani km kuna mtu angeliwafunika kwenye jukwaa..
Manake kw live show tu, hawana mpinzani EAC..

Cheki hyo kwanza[emoji116][emoji116]
 
Hapa nakuunga mkono kiroho safi. Nina imani watajifunza wakati ujao.
Kabisa, wajua kila mtu hilo jambo atalichukulia kivyake..wengine huenda ikawa imewauma km huyo jamaa hapo..

Wakumbuke kenya waliandaa wasafi festival msa na nrb na ikaenda poa tu
 
Back
Top Bottom