Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Aha kumbe kerere zooote kwasababu ya kushiriki wasanii wa zamani, Lengo la Diamond kuachukua wasanii wa zamani sio kama alishindwa kupiga wenyewe tu wakajaza watu la, lengo ni ujamaa sababu kubwa ni kuendelea kuwapa chati wasanii wa ndani walio kufa ili kuwafufua sasa unaposema angemchukua na msanii wa Kenya unakua hauleweki kenya inahuusiano gani na bongo fleva kwa ninyi na ujamaa wapi na wapi lengo ilikua nao wapate visent ulitaka Diamond awapange mstari kuwagawia Pesa ? Na lile tamasha halihusiani na EAC
Kikubwa ni kwamba Wasafi ime tikisa East Africa lakini ni kweli kuli takiwa kuwe na msanii japo mmoja mmoja toka Kenya na Uganda uki zingatia wasanii wengi sana wa zamani Jana wame pata nafasi kwani East Africa ni fan base kubwa sana ya mziki wa kibongo.