Hahahah kichekesho cha siku [emoji23][emoji23][emoji23]
Muziki wenu unalipa my foot,
Mara ngapi wasanii wenu wanalalamika hawalipwi vizuri huku wakilaumu kuwa wasanii wa Tanzania wanalipwa vizuri huko,
Hiyo elimu ya maana imewasaidia nini wasanii wenu mbona bado wako local sana,
Kama mziki sio tegemeo kwa wasanii wenu sasa mbona kila mara ni kulalamika tu,
Muziki wa Tanzania ni kama maji usipoyanywa lazima utayaoga tu yaani,
Wasanii wenu hawavuki border wanaishia tu huko Wakati wasanii wetu karibia wote wanafahamika huko kutokana na kuwa ni wajanja wanaenda na Wakati wanajua soko linataka nini.